Leo Valentines Day mtaani hali ni mbaya,Lazima Rais alegeze kidogo.Kulinda uchumi!

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Tuwe wakeli,Na tumsaide rais wetu.Leo siku ya wapendanao sijui mikoa mingine.Ila Dar kumekuwa kimya tofauti na miaka mingine kabisa.Ma bar yapo wazi,Gesti vibao vinasoma vyumba vipo.Si dadili nzuri kiuchumi.Watu wapo hoi hawana furaha mioyoni.Lazima rais afanyaje jambo sasa."Alegeze kidogo"La sivyo mateja,Majambazi yataongezeka kwa kasi."Hata ukimwi"
 
Ni wakati Sasa keki ya taifa kuliwa na watu wote. Wa kijijini na mijini.. Asante rais magufuli kuleta heshima kitaa. Cha msingi tusikose chakula hizo starehe nyingine zitakujaga Tupo kipindi cha mpito braza
 
Kama hiyo ndiyo sababu, mie naona aendelee kukaza, tena azidishe hadi mabaa na magesti yakose wateja kabisa na yafungwe!
 
Tuwe wakeli,Na tumsaide rais wetu.Leo siku ya wapendanao sijui mikoa mingine.Ila Dar kumekuwa kimya tofauti na miaka mingine kabisa.Ma bar yapo wazi,Gesti vibao vinasoma vyumba vipo.Si dadili nzuri kiuchumi.Watu wapo hoi hawana furaha mioyoni.Lazima rais afanyaje jambo sasa."Alegeze kidogo"La sivyo mateja,Majambazi yataongezeka kwa kasi."Hata ukimwi"
 
Hii kitu itazungumzwa Mara ngapi, watu mshazoea maisha mteremko na akili zimekuwa nzito. Jamaa aendelee kukaza akili zizibuke
 
Sms zenyewe watu hawajatumiwa leo...

Sasa hivi tupo tunaangalie Barcelona akila Bakora huku..
 
Tuwe wakeli,Na tumsaide rais wetu.Leo siku ya wapendanao sijui mikoa mingine.Ila Dar kumekuwa kimya tofauti na miaka mingine kabisa.Ma bar yapo wazi,Gesti vibao vinasoma vyumba vipo.Si dadili nzuri kiuchumi.Watu wapo hoi hawana furaha mioyoni.Lazima rais afanyaje jambo sasa."Alegeze kidogo"La sivyo mateja,Majambazi yataongezeka kwa kasi."Hata ukimwi"
Alegeze nini?? au unadhani anafanya makusudi kubana uchumi!! Nisawasawa na baba yako yupo juu ya nguzo ya umeme anatengeneza kanaswa na umeme wewe unapiga kelele ukimwambia baba tengeneza haraka tuangalie TV
 
Happy valentine

16508540_1374353355949088_8378498696718497840_n.jpg
 
Back
Top Bottom