Jana 12:15pm
*Wapinzani Watanzania wanavyoitana utasikia Rais wa mioyo, Mkuu, Bosi, Mtaalam, Tajiri, Kiongozi, Kamanda mara Mheshimiwa*
*Unaweza fikiria ni Wazalendo kweli kweli kwa kivuli cha wapinzani ila kwa majina hayo hapo juu utajua tu ni mabwenyenye, masultani,wasanii na wezi,walio tayari kuhatarisha amani ya nchi kama mtaji wao kisiasa.
Hawa wapinzani nimewafanyia tafakuri jadidi. Hawa wapinzani wanaonesha viashiria na mashina ya (Moral decay of our societies). Wanaonesha tuna kizazi na jamii pana inayopenda mambo makubwamakubwa tena bila ya kuyatolea jasho au kuwa na sifa sahihi...!!
Ni wapinzani wanaoonesha kila mtu ana tamaa ya fisi ya kukaa kileleni kwa kila jambo la kimaisha...!! Ni wapinzani wanaoakisi mzizi ya ufisadi na rushwa ya kijamii na kiuchumi....ni wapinzani wanaopelekea mtu akianza maisha ghafla tu tena bila kuwa mbunifu na kuchapa kazi...anataka nyumba ya kifahari, anataka gari la kifahari, anataka mavazi ya kifahari, anataka likizo aende Dubai, South Afrika, Ulaya au Marekani, pamoja na kwenda kutibiwa Nairobi,anataka kuwa na hela nyingi na ndefu kuliko...!!
Ni wapinzani wanaoonesha kutaka mambo kwa zaidi ya fasta fasta. Ni wapinzani a yanayoonesha namna gani vijana au watoto wetu wakiwa shuleni na vyuoni wanawaza ukubwaukubwa tu na siyo kusoma na ndiyo maana wengi wanasoma kwa kulipualipua ili mradi apate cheti...akimbilie kuitwa majina haya...!! Ni majina yanayopelekea vijana wetu au watoto wetu wa vyuoni wakipata boom yao hawanunui vitabu...wanakimbilia kununua vitu vya anasa vinavyoendana na majina haya...!!
Kifupi ni wapinzani wa kuendeleza kizazi cha kijuha. Ni wapinzani wanaoakisi tamaa zetu mbaya sana mithili ya sumu ya mamba ya kupenda kupata zaidi ya zaidi..!!
Ni wapinzani wanaotanabaisha mkokotenge wa kimaadili wa kizazi cha vijana wetu na hata watu wazima tulio nao ambao wapo upinzani so kwa uzalendo bali kupiga dili.
Tulipatwa na kicheko pale mjumuiko wa Vyama vinne vya upinzani vikikipinga Chama Cha Mapinduzi kuunda Muungano wa Ukawa na Kwa mshangao mkubwa mgombea wao alitokea Chama Cha Mapinduzi hivyo kuandika historia ya Vyama vinne vikiipinga CCM lakini Vyama vyote hivyo vinne mgombea wao wakaja kumuazima CCM,Hii ikawapa urahisi Kwa Wananchi kuchagua Jemedari Mzalendo,Shupavu ,Mwanafunzi aliyeiva wa itikadi za Mwalimu Nyerere na Hayati Moringe Sokoine,John Pombe Magufuli.
Mwaka mmoja wa JPM ulitosha kuwafanya wapinzani kupoteza dira na kukosa Ajenda na kuanza kupiga propaganda eti JPM anatumia sera ya UKAWA kuendesha nchi,lakini baada ya kuona wana twanga maji kwenye kinu,Wakaanza kukana hata sera Yao wakisema sera anayotumia JPM kuongoza Nchi anakosea sana ,lakini ukiwauliza anakoseaje wanakwambia anawatumbua Mafisadi hadharani familia zao zikiona zitapata aibu,ha ha ha wamesahau fimbo Sita za Mwalimu kisha anakwambia nenda kamuonyeshe mkeo.
Hapa kazi tu na watanzania milioni kumi wasiofungamana na Upande wowote wanaendelea kuamini utendaji kazi wa JPM kuanzia reli ya Umeme,Madaraja ya juu,Bandari Mpya zinajengwa na za zamani kupanuliwa,kutungwa Kwa sheria Mpya ya madini maslahi Kwa Taifa,Bwawa la Kuzalisha Umeme la stiggler's gorge litalozalisha umeme Mara ya mbili ya huu tulionao sasa,Bomba la Mafuta toka Uganda,Ndege Mpya Sita,Tatu ndogo na Tatu kubwa zitazosafiri toka Hearthrow,London,Uingereza moja Kwa moja hadi Uwanja wa Julius Nyerere au Kilimanjaro Int Airport,kuwawezesha watalii kufika Kwa urahisi Nchini Tanzania,kujionea vivutio vya asili zaidi ya Mia Tatu na hivyo kuongeza pato la Nchi yetu na kukuza uchumi wetu.
Ni wazi Ndoto za kuikomboa Tanzania yetu kiuchumi zinafanikiwa Sasa katika uongozi huu wa Awamu ya tano,chini ya Mh Rais,Dr John Pombe Magufuli,akiwa Jemedari hasiyeogopa vita wala maneno ya wapinzani,wala propaganda zao,Alipolenga JPM tutafika tu maana JPM si mtu wa kugeuka nyuma wala kuwasikiliza wapinzani wanaotaka tushindwe badala ya kutoa msaada ama maoni yatayotuwezesha kufikia Tanzania ya Viwanda ,Tanzania ya uchumi wa Kati,The Great Tanzania.
Tuendelee kuwaombea Wapinzani wa Tanzania waige mfano wa Mwanasiasa nguli na Mzalendo,Mpinzani wa kweli Dr Wilbrod Slaa,ambaye Kwa hakika Dr Slaa ameacha pengo kubwa uko CDM kiasi cha kumsahau Katibu Mkuu wao wa Sasa na kuanza kumuulizia Katibu Mkuu wa CCM ,Comrade Kinana.Kwa hakika unakumbukwa sana Dr Slaa uko CDM,naamini uko na afya njema ukishuhudia mkombozi wa Ndoto zako JPM akitenda mambo makubwa pasipo kifani hata kutembea katika kivuli na nyayo za Mashujaa wa Tanzania na Afrika ,Mwalimu Nyerere,Hayati Moringe Sokoine,Kwame Nkrumah,Jomo Kenyatta,Samora Machel,Kenneth Kaunda,Robert Mugabe,Edward Mondlane,Oliver Tambo,Di bois,bila kumsahau Baba wa Afrika Nelson Mandela.
Tuna furaha hii Leo kushuhudia Shujaa mwingine wa Tanzania na Afrika ,Mh Rais John Pombe Magufuli.
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais wetu John Joseph Pombe Magufuli,Mungu ibariki CCM ikahudumu kwa Haki,Wema na Uadilifu.
Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga.