Kimbunga Platinum Member Joined Oct 4, 2007 Posts 14,977 Reaction score 10,075 Jun 19, 2011 #1 Wakuu mimi huwa kila siku saa mbili usiku napenda kuangalia habari za nyumbani kupitia TBC1 ndani ya DSTV. Leo nashangaa channel 143 ya TBC1 haina kitu. Kuna ajuaye kulikoni?
Wakuu mimi huwa kila siku saa mbili usiku napenda kuangalia habari za nyumbani kupitia TBC1 ndani ya DSTV. Leo nashangaa channel 143 ya TBC1 haina kitu. Kuna ajuaye kulikoni?
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,679 Reaction score 4,381 Jun 19, 2011 #2 ccm washaitoa huko