Leo sikukuu jaman?

Leo sikukuu jaman?

Leo huendi shule Dah it was a long weekend kw kweli... Toka TAREHE tisa
 
Hii skukuu haina promo,yaani huku uswahilini kupo kimya sana husikii hata wakina mama wakizungumzia kupika pilau leo.
 
Hii sikukuu mimi nimeitambua Asubuhi.Vyombo vya habari havikufanya kazi yake vizuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom