Leo nimepatikana ndugu zanguni. Mpaka sasa siamini jambo hili

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Tuna group letu la Whatsapp ambalo ni la wana na mabinti wa kitaa, shule, chuo na kazini. Yaani tulianzisha kundi sogozi la whatsapp ambalo mimi naalika marafiki zangu na wewe unaalika wako na wengine nao wanaalika wao.tumo wengi sana maniga na mademu toka kila sehemu.

Basi mi nlifanikiwa kupata mtoto mmoja mkali sana ila macho kumchuzi ki aina. Nmemlamba na kumbe jamaa yangu mmoja naye amemlamba.mle ndani tulishaambiana unaanzia pale unapokamatia na ni no man's land.yaani ukikamata unakula unaachia na mwenzako naye akitokea. Hakuna kubinafsisha K.

Mimi kihere here nikataka nibinafsishe.leo tupo na huyo bi mdada tunasheherekea 77 mahali flan.amenipa mambo matamu basi nikaingiwa na wivu nikamwuliza kwa upole tu.

Nasikia na Maiko naye amekunaniii jibu lake limenichanganya sana, mpaka nimejuta kuuliza alijibu.

"Eeeh ndiyo kwani kipi cha ajabu hapo...ukitaka K ya kwako peke yako jitengenezee hii yangu nampa ninayemtaka, ukitaka Tombah kama hutaki niambie niondoke zangu tusipangiane"

Basi kwa unyonge nikamwambia "inama" akainama nikapiga round ya pili. Just like that. Imeniumiza mdada yupo huru na ashakunywa zake savannah wala hana woga.

Kila nikikumbuka hayo maneno nashindwa nifanye nini.maana of course nataka niendelee kumla ila daaahh.... Yaani haoni hata ugumu kwa hilo jambo? Hili group letu nalo...nawaza sijui nim remove? Yaani nakosa amani kabisa kwenye group.ye wala haoni shida.

Huyu mdada yupo sawa kweli kichwani ? Tushawahi kwenda lodge moja TV Ikawa haiwaki nikawa nahangaika kupiga simu kwa mhudumu aje arekebishe au anihamishe chumba.alininyang'anya simu na kukata akanambia kwa ukali

*We nawe kwani hapa tumekuja kuangalia TV au kutombanah? Achana na hiyo tv tufanye kilichotuleta" nikamwambia sasa kukiwa kimya kelele za kutianah zitasikika sana akanijibu.

"Kwa hiyo hawa watu wa humu wanaamini sisi tumekuja kucheza karata? Hebu lala chali hapo nikukalie"

Hivi athari ya bhangi huwa inakaa miaka mingapi kichwani?Aliwahi sema zamani alikuwa anavuta bhangi.sijui kama kweli kaacha sidhani.
 
wanaume tupo wajinga sana tukiambiwa ukweli tunaumia wakitudanganya ndo tunafurahia, hivi kwa akili yako kwa sasa kuna karne ya peke yako? hebu acha ushamba endelea kula kitumbua
 
Umenikumbusha demu mmoja, niliwah mchapa, sasa kumbe alinificha hajaolewa alafu kimtindo tindo nikawa nmemwelewa sana.

Siku akaniambia kasafir ghafla yuko kwa shangazi, ( mie huwa nimtu wa machale sanaaa ,nikajua kuna kitu) , basi na bro angu yupo makao makuu ya mtandao mmoja ivi, nikamwambia anichekie Location ya Demu, . Nikagundua demu kanidanganya.

Nikampigia usiku mshale ya Saa nne, akapokea njemba.. basi nikamwambia ampe mwenye simu,, akaniambia mwenye simu ni.mke wangu na wamezaa mtoto mmoja ... na blaa blaaa mengiiiii, nikakata simu.


Nilichokuja kufanya...


Huyu demu nilikutana naye akiwa amekuja ugen kwa Mama mdogo wake .

Nikatongoza Mama mdogo wake nikamlaa.

Nikatongoza Dada yake nikamlaaa.


Alikuja kujua kua nmewala wote watatu, akanipigia simu..

TOKEA NMEZALIWAA SIJAWAHI KUTUKANWA MATUSI KAMA ALONITUKANA YULE DEMU.....


Baada ya wiki akanitafuta tena, Nikamlaaa.. nikamblock na kumdelete akilin kwangu.



Yaliyopita.
 
Eeeh! Mbona ndo ukweli wenyewe,, sema inawezekana pia ukawa na undugu na Shigongo ww mkaka, nakumbuka kama nimeshawahi kuisoma hii story kwenye gazeti la ijumaa wikienda
 
Mmmh.... Huo ni uongo. Weka hapa hicho kipande na moderator wakikuta ni kweli nipigwe ban wiki 2. Mi nakuelea jambo langu.shigongo yeye anapatikana wapi?na anahusika na nini? By the way...we smart people dont read those kinda shits.

Eeeh! Mbona ndo ukweli wenyewe,, sema inawezekana pia ukawa na undugu na Shigongo ww mkaka, nakumbuka kama nimeshawahi kuisoma hii story kwenye gazeti la ijumaa wikienda
 
Back
Top Bottom