ohoo😕😕Mi mrembo tena
Walinizunguka,bahati mbaya ni mgeni maeneo yale. Nimeenda hewani afu giant,mbaya zaidi piki piki ilikua na sime chakavu ya toka 2010 nilifunga kujilinda na wanyama wakali na dharura mbaya.Hatari sana,Kuna mshkaji wangu mmoja(RIP) kipindi Iko bado napiga kitabu ye alipata shortcut(diploma) akapangiwa Mali asili Moja ya mbuga zetu, akaenda kuripoti kambini akaanza kazi, yupo na mwenzake wote wageni, kumbe Hio kambi ilikua Ina uhasama na Kijiji Cha jirani(wanakijiji walikua wanadai askari wa wanyamapori wanaua wanakijiji ovyo wakiwakukuta porini).... Kukawa na tension flani, huyu mshkaji wangu ye mgeni hajui Chochote....
Jioni wakawasha boda na mwenzake mgeni wakajimix kijijini na uniform zao kupata Moja mbili, aisee mob justice ni mbaya sana, waliuawa mikononi mwa wale wanakijiji siku io io....
Uzuri serikali nayo inajua kulinda heshima zake, ilipita operation hapo kijijini sio poa, hawawezi kurudia tena
Say no to mob justice, RIP jamaa yangu, ulikua bado mdogo sana you have a whole life ahead
Pole sana mkuu. Hongera kwa kusalimika, nakujua uko giant, mrefu na mweusi.Walinizunguka,bahati mbaya ni mgeni maeneo yale. Nimeenda hewani afu giant,mbaya zaidi piki piki ilikua na sime chakavu ya toka 2010 nilifunga kujilinda na wanyama wakali na dharura mbaya.
Nawe hueleweki, ulisalimika baada ya hao wenyeji wako kusema wanakujua au kwasababu umepanda hewani?Walinizunguka,bahati mbaya ni mgeni maeneo yale. Nimeenda hewani afu giant,mbaya zaidi piki piki ilikua na sime chakavu ya toka 2010 nilifunga kujilinda na wanyama wakali na dharura mbaya.
Walivyoniona Giant hivi wakajua nimefika kutoa Figo za watu.Pole sana mkuu. Hongera kwa kusalimika, nakujua uko giant, mrefu na mweusi.
Say no to mob JusticeHatari sana,Kuna mshkaji wangu mmoja(RIP) kipindi Iko bado napiga kitabu ye alipata shortcut(diploma) akapangiwa Mali asili Moja ya mbuga zetu, akaenda kuripoti kambini akaanza kazi, yupo na mwenzake wote wageni, kumbe Hio kambi ilikua Ina uhasama na Kijiji Cha jirani(wanakijiji walikua wanadai askari wa wanyamapori wanaua wanakijiji ovyo wakiwakukuta porini).... Kukawa na tension flani, huyu mshkaji wangu ye mgeni hajui Chochote....
Jioni wakawasha boda na mwenzake mgeni wakajimix kijijini na uniform zao kupata Moja mbili, aisee mob justice ni mbaya sana, waliuawa mikononi mwa wale wanakijiji siku io io....
Uzuri serikali nayo inajua kulinda heshima zake, ilipita operation hapo kijijini sio poa, hawawezi kurudia tena
Say no to mob justice, RIP jamaa yangu, ulikua bado mdogo sana you had a whole life ahead