Kesho jumapiliHuyu kaka alikua ananichukuli poa sana. Mnoko mnoko anapenda kunifatilia mambo yangu hata kama hayahusiani na kazi anaingiza pua yake kwenye mambo private. Kila wiki ananiripoti kwa bosi kwa vitu vya uongo.
Sasa leo aligonga kubaya nikapatwa na hasira ghafla. Unajua madem wa chuga hatunaga pampa pamba.
Nilisimama nikamkunja nikamuingiza kwa kwapa akawa hafulukuti nikamtia vibao viwili vitakatifu halafu nikamwambia nenda kaseme kwa bosi wako.
Nikachukua begi langu nikasepa home. Bosi amenipigia simu zaidi ya mara nne sijapokea. Saa hizi ameniandikia meseji akinisihi nipokee simu ana mazungumzo na mimi. Nimemjibu tutaongea kesho ofisini.
Hata kama nitakua nimenyea ugali wangu ila najipongeza kumpa adabu huyu kaka wa hovyo! Naona sasa atakua na adabu na atakaa mbali na mimi! Sipendagi mazoea ya kiufisadi na kimbea mbea mie!!
Watu wengine safari zao za maisha ya ndoa zilianza kwa mikiki mikiki kama hiyo.Uyu kaka alikua ananichukuli poa sana. Mnoko mnoko anapenda kunifatilia mambo yangu hata kama hayahusiani na kazi anaingiza pua yake kwenye mambo private. Kila wiki ananiripoti kwa bosi kwa vitu vya uongo.
Asa leo aligonga kubaya nikapatwa na hasira ghafla. Unajua madem wa chuga hatunaga pampa pamba. Nilisimama nikamkunja nikamuingiza kwa kwapa akawa hafulukuti nikamtia vibao viwili vitakatifu alaf nikamwambia nenda kaseme kwa bosi wako. Nikachukua begi langu nikasepa home. Bosi amenipigia simu zaidi ya mara nne sijapokea. Saa hizi ameniandikia meseji akinisihi nipokee simu ana mazungumzo na mimi. Nimemjibu tutaongea kesho ofisini.
Ata kama nitakua nimenyea ugali wangu ila najipongeza kumpa adabu uyu kaka wa hovyo!! Naona sasa atakua na adabu na atakaa mbali na mimi! Sipendagi mazoea ya kiufisadi na kimbea mbea mie!!
Huyu kaka alikua ananichukuli poa sana. Mnoko mnoko anapenda kunifatilia mambo yangu hata kama hayahusiani na kazi anaingiza pua yake kwenye mambo private. Kila wiki ananiripoti kwa bosi kwa vitu vya uongo.
Sasa leo aligonga kubaya nikapatwa na hasira ghafla. Unajua madem wa chuga hatunaga pampa pampa.
Nilisimama nikamkunja nikamuingiza kwa kwapa akawa hafulukuti nikamtia vibao viwili vitakatifu halafu nikamwambia nenda kaseme kwa bosi wako.
Nikachukua begi langu nikasepa home. Bosi amenipigia simu zaidi ya mara nne sijapokea. Saa hizi ameniandikia meseji akinisihi nipokee simu ana mazungumzo na mimi. Nimemjibu tutaongea kesho ofisini.
Hata kama nitakua nimenyea ugali wangu ila najipongeza kumpa adabu huyu kaka wa hovyo! Naona sasa atakua na adabu na atakaa mbali na mimi! Sipendagi mazoea ya kiufisadi na kimbea mbea mie!!
Unaogopa kupigwa mkuuNilitaka nilete barua ya posa, nimegairi sileti tena
Mwanamke bondia unampeleka wapi, ukikosea kulenga unakula kibanoUnaogopa kupigwa mkuu
Hii picha imepigwa kwa tecno t349 au
ZingatiaMwanamke bondia unampeleka wapi, ukikosea kulenga unakula kibano
Tunafanya hapa kwa mangi mkuumnafanya kazi za vibarua ofisi gani hiyo hadi mna ustaarabu wa kupigana?
Anastahili alizidi shoboMtauana ndugu, kweli maisha ni magumu ila si kwa kiwango cha kupigana kama watoto wadogo