winlicious
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,009
- 1,158
Habari wana MMU, nna mpenzi Wangu ambaye tuna muda kidogo. Hapa kati niligundua anachepuka baada ya kuona msg kwenye simu yake,nilipomuuliza akakataa katakata na ugomvi juu nkajishusha yakaisha but moyoni mwangu nlikua namchunguza kimya kimya. Kwa kawaida huwa tunapitiana asbh kwenda kazini kwan ofisi zetu zipo karibu, basi Leo nimeenda kama kawa nikagonga but hakufungua ila nliskia movement ndani ameamka akawasha gesi na kubandika Maji ya kuoga basi nkajua atafungua mlango, nkaona kimya ila machale yakanicheza nikapanga kukaa nje mpk nione mwisho, cm zang nikaweka silent baada ya dk 40 hv nkaskia sauti ya mwanamke ndani kumbe ndo alikua anamwandalia Maji, ile kufungua mlango akakutana na macho yang makavuu nikamsalimia nikaingia chumbani nkamsalimia bint nkarudi kukaa sebuleni, bidada akanikaribisha kw adabu zote nkamwambia apumzike tu asijali, kaka katoka kuoga anajishaua kuniuliza et kwann sjaenda kazn nimesimama tu nje m sikumjibu ktu akaingia rum kuvaa m nmekaa tu sebulen sikutaka ugomvi kiukweli coz najijua hasira zangu ningechoma mtu kisu bure, basi bidada akavaa nguo huyo akaondoka na akaniaga eti Dada bye nkamwambia ok karibu tena! alipoondoka nikamuuliza is it me or her akakosa jibu, nikaondoka zangu! Now msg kibao za maelezo mm sijajibu hata moja, hivi wanaume kwann hamtosheki jaman? Bora nibaki single tu kuliko kuleteana magonjwa

ni mchumba best acha tuPole yako aisee. Sasa sijui ni mchumba ama rafiki tu wa kulalana na kusepa?! Umefanya la maana sana kuwa mpole, maana ungeanzisha vurugu mwisho wa siku ungejuta na baadae kujiuliza, kama una haki kwake ama la! Tena pole yako!
Ahsante!
we boss weweSitetei hiko kidume
lakini naona amejikuta katika mazingira magumu
wewe anakuhitaji for future
lakini at the moment anahitaji mtu wa kumpikia na kumuandalia vitu asubuhi
na kumtoa uchovu usiku.....
huku wewe unakuja asubuhi na mnaendelea na mipango ya future...
mwenzio hana ofisi ya kwenda so kampa ubize wa kiaina...
huku wewe anakusubiri for future
najitahidi kila ktu my dear na pia najitahidi sana kuwa real kwake but ndio hivyo tuhivi kwanini haukumtoaheleza mpaka anaenda nje?
Pole mwaya yani wanaume sijui wameumbwa vipi dah hata ujitoe kiasi gani kwake bado haridhiki