Leo nimekutana na housegirl wetu ambaye alikuaga kama mke wangu

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Nilivomaliza six ndio nilitolewa bikra na huyu hausigel wetu kabla ya hapo nilikua chaputa damu damu.

Aisee nilinenepa sana likizo ile, nilikua najipigia muda wowote naotaka.alikua ananipenda kupita maelezo had bimkubwa alikuja shtukia.

Maneno yasiwe meng leo nilikua sokon nanunua mahitaj.mboga mboga nini vitunguu n.k pale kwenye soko letu pendwa maeneo ya Tangi Bovu

Mara nkaskia naitwa kaka napoleone kugeuka namuona X mke wangu ..tumepiga story sanaa..anasema hajaolewa ila anaish na mtu ana watoto wa3.

Though akanipiga kizinga hapohapo et Afadhal leo sikosi hela ya skukuu..daah bila hiyana nkazama nkatoa 40 ya fasta ..maswal yakawa meng nkaona imetosha ngoja nimwache maana alikua anaelekea kuniomba namba..anaishi kawe et nikamtembelee nione watoto wake..nkasema duh

Uzi tayar

Ila amekua mmama kwel wanawake mnazeeka haraka duh
 
Mi niko nje ya mada. Inamaana mtoa mada jina lako la mtaani ndo hilihili la hapa jf. Mbona house girl wenu wa zamani kakuita jina hilo.


Kwa mjibu wa uzi wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Code za uandishi Jf ziko hivo , unapo simulia hadithi utumie username yako Kama jina lako, sio sheria lakin unaeza pia ukalisena jina lako halisi ila ni hatari

Sent
 
Back
Top Bottom