Leo nimefumwa live nanunua cha bibi(ugoro)kwa masai

Aventus

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
1,914
1,977
Habari za saiz wana jamvi???

Baada ya kuacha sigara na ganja zaidi ya miaka kumi kuna kipindi nimekua mpweke sana nikajichanganya na marafiki nikakuta naangukia katika matumizi ya cha bibi(black poweder,engusugii,mababo,ubuge,ubuyu n.k)Yapata miaka miwili sasa natumia kisiri hata alienifundisha ajui kama naendelea kutumia na nimejitahidi kuacha nimeshindwa..Niende kwenye mada nisiwachoshe...

Leo nashuka tu kwenye basi la mkoani.Nawaona wamasai nikasema moyoni wacha nichukue kabisa stock nikifika ghetto nashtua mana nina arosto sana..
Sijui ikawaje masai akanishawishi nitest kama ni mkali mana alikua anausifia.Tamaa na Arosto nikautest.Uwezi amini funda la ugoro mdomoni,kibunda cha ugoro mkononi halaa haula bae huyu hapa.Duuuuh.
Kiukweli nilimwambia ni dawa ya jino ila mpaka sasa hajazungumza lolote.
 
We jamaa muongo muongo sana. Too bad story zako hazina ushirikiano.. Unafaa kuwa mwandishi wa hadithi za kusisimua kwny magazeti ya udaku
 
Emu Tupia picha ya domo lako lilivyo
naijatwittersavages-20181203-0005.jpeg
 
Bora wewe wa maugoro umeacha na ganja, kuna wale wanaotafuna madude fulani ya wahindi wanayakatakata kwa mikasi fulani nje ya maduka yao sijui ni manini yale ni hatari zaidi na sijui ni kwa nini hayajawekwa kwenye kundi la madawa ya kulevya wakati yale majani ya wasomali na warangi yamewekwa kwenye kundi la mihadarati?
 
Ngisugii huwa nazimua mara kadhaa hasa nikitaka kupiga chafya kuweka mwili active.
 
Mkuu bado napambana ukianza mwaka mpya niwe nimeacha mana sio starehe mana nikiula natema mate kama mama mjamzito bhana.

Back
Top Bottom