Ni ID yako tena hii niitambue rasmi?Yaani SAA nane hii watu bado wanakimbia polisi..
NAKWEDE uko wapi tuonane Ili tupige balimi..
Niko jirani na Victoria price hapa hivyo tunaweza kutana villa au hapa hapa tu mshenga wangu kipenzi
Kwani hii huwa hauna mbona ndio iko sokoni mda mrefu...Ni ID yako tena hii niitambue rasmi?
Sijakuelewa rafikiWanauzaa biriaan MPWAA???
Hata mimi nimeshangaaUnadannganya maana saa6+ hata soda hairuhusiwi kuuzwa na wewe wangekubeba, so hii ni CHAI
Muandiko wa ki-baamedi baamedi huu.
Sio mpaka niulize ungeeleza tangu mwanzo.HUJUI UNACHOSEMA
SA SITA USIKU NAFANYA NN BAR ULIZA UELIMISHWE..
"POLE NI ARR SAA TANO MKUU ASBH" nini hiki ARRHAHAHAAA NIMECHELEWA SANA NYUMBAN SAA TATU USIKU AMA SANNE ELSE NIKO HARUSINI
POLE NI ARR SAA TANO MKUU ASBH