Leo nimeamka na tumbo la kuharisha

Leo nimeamka na tumbo la kuharisha

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,198
Jana nilikuwa maeneo flani hivi night nilipiga ugari na nyamaa ya kukaanga plus juice ya baridii(ile ya kutengeneza) bila kusahau kilevi changu cha papuchi iliyonona

Leo sijatoka home tangu asubuhi, nimeshaenda Chooni mara 8, ya kwanza niliharisha kinyamaa na mpaka ya tatu,

Kufika ya 4 nikijisikia haja nikienda toilet nakunya nya ndogo alafu nakaaa muda mrefu toilet kitu hakitoki, kufika round ya 5 mpaka sasa nikienda toi nachuchumaa mpaka kinyeo kinauma,

Yaani mpaka uzi huu nimeandika hapa toi

Wakuu dawa pliz.

Cc Zero IQ
 
Pole,km deja vu vle.
Siku yangu ilkua kama yako.now nshatulia,
Shemejio ananiandalia mkate wa kuoka sjui una mixin ya thiwa na siagi inaitwa network testing

Sent using Brain
 
Jana nilikuwa maeneo flani hivi night nilipiga ugari na nyamaa ya kukaanga plus juice ya baridii(ile ya kutengeneza) bila kusahau kilevi changu cha papuchi iliyonona

Leo sijatoka home tangu asubuhi, nimeshaenda Chooni mara 8, ya kwanza niliharisha kinyamaa na mpaka ya tatu,

Kufika ya 4 nikijisikia haja nikienda toilet nakunya nya ndogo alafu nakaaa muda mrefu toilet kitu hakitoki, kufika round ya 5 mpaka sasa nikienda toi nachuchumaa mpaka kinyeo kinauma,

Yaani mpaka uzi huu nimeandika hapa toi

Wakuu dawa pliz.

Cc Zero IQ
Tafuta mbegu za chia alafu uwe unatumia walau kijiko kimoja kila unapokunywa chai au maji. Itasaidia kusafisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na kuondoa sumu kandamizi mwilini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nilikuwa maeneo flani hivi night nilipiga ugari na nyamaa ya kukaanga plus juice ya baridii(ile ya kutengeneza) bila kusahau kilevi changu cha papuchi iliyonona

Leo sijatoka home tangu asubuhi, nimeshaenda Chooni mara 8, ya kwanza niliharisha kinyamaa na mpaka ya tatu,

Kufika ya 4 nikijisikia haja nikienda toilet nakunya nya ndogo alafu nakaaa muda mrefu toilet kitu hakitoki, kufika round ya 5 mpaka sasa nikienda toi nachuchumaa mpaka kinyeo kinauma,

Yaani mpaka uzi huu nimeandika hapa toi

Wakuu dawa pliz.

Cc Zero IQ
Ndiyo dalili zenyewe mdogo wangu wahi matibabu

Ulimlipa ujira wake yule mbebez wa Kondoa?Yawezekama kakurushia "scud" la kienyeji!
 
Pole sana mzee,
Sasa mkuu hauoni moja kwa moja unaweza ukawa umepelekea kupata food poison,.. Nenda kapime bhana

Sony mobile phone
 
Back
Top Bottom