py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,471
- 4,424
Ndugu zangu wakazi wa kariakoo ,magomeni ,upanga ,posta mkisikia mingurumo siku ya Leo au kesho msichanganyikiwe
Kama ilivyo miaka yote wahindi wanasherehekea siku yao iitwayo Diwali day
Sherehe hio huambatana na upigaji wa baruti angani.Nadhani wakazi wa wilaya ya kinondoni na ilala ni wazoefu sana katika siku hii kusikia mingurumo ya fataki hizo
Msije mkadhani watu wasiojulikana bali ni sherehe ya Diwali