Leo ni sikukuu hakuna vipimo

Leo ni sikukuu hakuna vipimo

Fimbo ya Musa

Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
94
Reaction score
13
Jamani habari yenu wote mnaosoma bandiko hili. Kauli hapo juu niya doctor kwenye hospital moja kubwa huku mkoani ambayo ni tegemeo la wakazi wote wa wilaya yetu.

Mimi ninachouliza ni kwamba, wagomjwa hawaumwi siku za sikukuu? Na wengine nawaona wako serious kweli,je, wakafie majumbani kwao?

Naomba ushauri wenu hatua ya kuchukua kwani huku hospital tegemeo ndo hii hakuna kwingine.

Asante
 
Fafanua zaidi,umeambiwa hamna vipimo vipi,maana vipimo vipo vingi hospitalini
 
Kaka,leo ni vipimo vya dharura tu! kwani watumishi wa afya wana haki ya kupumzika na kusherekea pia.

By the way kama wewe ndiye mgonjwa mwenyewe basi unaweza subiri mpaka kesho kwani hali yako iko vizuri kiasi cha kuweza kupost JF.

Pole sana lakini jifunze heshima kwa binadamu wenzako.
 
Nakuunga mkono kabisa.we unahitaji kipimo cha mimba leo.mtu an a force.au mtu anamapunye anataka kipimo cha damu leo.wauguz hata ss tunapenda bata bwana
 
Kaka,leo ni vipimo vya dharura tu! kwani watumishi wa afya wana haki ya kupumzika na kusherekea pia.

By the way kama wewe ndiye mgonjwa mwenyewe basi unaweza subiri mpaka kesho kwani hali yako iko vizuri kiasi cha kuweza kupost JF.

Pole sana lakini jifunze heshima kwa binadamu wenzako.

Mleta uzi una swali la nyongeza???
 
Watu wana tabia za ajabu sana. Mtu anaumwa wiki nzima aafu anakuja hospitali jumapili anataka vipimo!! Nani kakwambia hospitali ndio hawapumziki? Kuna dharura ndio zinahudumiwa kwa haraka siku za mapumziko. We unaumwa tangu j3 umeenda kazini wiki nzima, jumapili asubuhi ukaenda kanisani jioni ndio unakuja hospitali unajidai upo serious!!!

Hii ni kawaida kwa sehemu zote kama sio dharula unasubiri siku ya kazi lakini huduma zingine unapewa
 
Back
Top Bottom