Na una smart phone mkononi?Leo ni 1448
Mbona haihusiani na kilichoongeleawatajua wenyewe nchi inajiita imeungana wakati kila mmoja ana mambo yake kimsingi hakuna uwiano wala maslahi yoyote watanganyika wanayopata kule zenji zaidi ya hao wachache wenye vijimaslahi uchwara, hicho kinachoitwa muungno ni kiini macho tu wala hakipo.
January?Kwa hiyo leo ni January mosi mwaka gani ?
Kalenda ya Kiislam inasema leo ni mwaka gani?Wengi hivi sasa hata wasiokuwa waislam wanajua kwamba leo ni mwaka mpya wa kiislam. Hii ni kutokana na mapumziko ya watu wa Zanzibar kupewa offer ya mapumziko na kufanya watu wengi kufatilia. Kabla ya hapo, mwaka mpya wa kiislam Tanzania ulikua haufatiliwi si kwa waislam au waislam wenyewe..
Hii sawa na kalenda ya wasiokuwa waislam yaani January mosi
Wewe unahisi wetu ulianza lini?Kalenda ya Kiislam inasema leo ni mwaka gani?
Inatofauti gani na mwaka wa Wayahudi? Maana Wayahudi wao wanahesabu toka Adam kuumbwa. Huu wenu umeanzia lini? Maana huea mnasema Adam alikiwa Muislam😅😅
Alipoumbwa AdamWewe unahisi wetu ulianza lini?
Kabla ya Adam mfululizo wa miezi yetu ulikuwepo ila tulianza kuhesabu upya baada ya hijra ya MtumeAlipoumbwa Adam
Andika taratibu watashindwa kutoa jibu maana itaonekana uislam ulianza juzi kati😅😅💔Mtoa mada kamilisha habari yako:
Ungeandika Kiislamu Leo ni Tarehe Fulani/Mwezi Fulani na Mwaka Fulani/ na ikiwezekana Siku Fulani
mfano
Leo ni Jumatano Tarehe 18/06/2025
Yesu hana kalenda sema kalenda ya Papa GregoryMtoa mada kamilisha habari yako:
Ungeandika Kiislamu Leo ni Tarehe Fulani/Mwezi Fulani na Mwaka Fulani/ na ikiwezekana Siku Fulani
Mfano:
Leo ni Jumatano Tarehe 17/06/2025 kutokana na Kalenda ya Yesu Kristo: