Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,323
- 33,912
Hazikuiva kabisa na Martin Luther King, licha ya wote kuwa wanaharakati wa kumtetea mtu mweusi
Hapana, niliweka humu sababu. Nikipata muda nitaoweka tenaNadhani mambo ya kiimani pia,Mmoja alikuwa Muslim na mwingine Christian
Sent using Jamii Forums mobile app
Malcom Little nalo lake mkuuR.I.P El-Hajj Malik El-Shabazz
Yeah, lakini si alibadilisha jina kama walivyofanya Muhammad Ali na Kareem Abdul Jabbar? Ama?Malcom Little nalo lake mkuu