Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,612
- 3,381
Kweli mapenzi yanatesa😀Ndio leo nimeona bora nikutafute kwa sababu wewe hata siku moja hujanitafuta...!
Hunipigii simu, hunitumii hata message, basi japo ungenipigia hata kuniomba japo pesa nikutumie ila wapi, hujanitafuta kabisa nikasema nikupigie leo nimekaa nimekukumbuka that's why nikakupigia, kuna tatizo kwani...?
Kwa lipi tena Mmarekani Nusu...?Pole sana
naelewa basiKwa lipi tena Mmarekani Nusu...?
Kweli mapenzi yanatesa😀
Pole basi wewe...! 😢naelewa basi
Ahsante kwa niaba ya wanaoteswa mkuuPole basi wewe...! 😢
Nenda nayo taratibu... Utachanganyikiwa shauri yakoAcha kabisa Lavvy...!
Ila yanatesa tu ukikubali yakutese, ila usipokubali yakutese utayaambia tu.
Niache Nteseke.
Nenda nayo taratibu... Utachanganyikiwa shauri yako
😁😁😁Kama jina lake mkuu😆😆Kweli mapenzi yanatesa😀
Kazi anayo😀😁😁😁Kama jina lake mkuu😆😆
Ya kumtafuta asiyetafutika😀Kazi ipi tena Lavvy...!
😅
Ya kumtafuta asiyetafutika😀