Leo nataka jibu la uhakika kuhusu ajira

wakuu habar zenu....leo nataka jibu la uwakika kuhusu ajira za serikal, zinatoka lini ?
mbona kila naemuuliza hajui.
Up to next financial year which will commence on July the first 2017. So be patient as it is just four months to come.
 
Kungekuwa na msimamo wa pamoja, siku wakitoa ajira zao huo mwaka watakaojisikia haendi mtu, kuonesha hasira zetu
 
Kila kitu siasa siku hz, matamko na makanusho ndo yao, ajira zipo za kuteuliwa na mh!
 
mkuu kutoka kwa ajira mpya bado ni kiza maana kuna watu walisimamishwa ajira mpaka sana haijulikani nn hatima yao kila mtu anaruka hakuna mwenye majibu mazuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom