Leo naenda kuperuzi hiyo simu, liwalo na liwe

wacha mama hiyo ni kurusha fuko la nyuki ibadani
na kwanini ukose amani kiasi hiko
 
Wakuu,

Mida ya saa 8 nikaamka nikazama toilet na simu ya wenyewe.

All in all sijaumia sana i think nilitegemea kukuta worse.

Ofcourse msgs huwa zinafutwa na chat kuwa archived. Nimekuta chat niliyokuwa naitaka ina msgs mbili za mahaba zilizotumwa kutoka upande wa pili saa 6 usiku. Nasikitika sijapata kuona reply za baby wangu huwa zinakuwaje.

Ila nimezireply mimi (nilichojibu nakijua mwenyewe ila nimetaka wote wawili wajue nilipitia hiyo chat)

Nimeamka kama hakuna lolote, nimeenda kazini na sasa niko njiani kurudi. Saa 7 mchana nilipigiwa simu ya kujuliwa hali nikajibu kwa bashasha kabisa.

I cant wait to look into his eyes maana najua kashajua...

NB: Wazee wa “loose balls” mmenichekesha hadi nikasahau maumivu kwa muda
Ha haaa hongera sana
 
Ni simple..kabla hujataka kumuoa binti wa watu muwele wazi kuwa yeye peke yake hatakutosha so utakuwa na mke/wengine, trust me hutakosa ambae atakubaliana na matakwa yako,wapo wengi.

Mwanzoni wakati mahusiano yanaanza, hua mnatuaminisha kwamba nyie mtatutosha maana kipindi cha uhusiano mpaka uchumba kila tukitaka chezo mnatugea kiroho safi na manjonjo kibao juu. Cha ajabu tukishawaoa na kuwaweka ndani mnaanza kutugeuzia migongo usiku, mnaanza kua na maumivu ya vichwa, migongo, tumbo, na uchovu usioisha. Kila tukiwagusa visingizio vinakua lukuki! Hapo ndio tunagundua kumbe mlituingiza chaka na ndio hapo tunaanza kutafuta suluhu nje ya mahakama.
 
Hizo tabia ni za binadamu yoyote yule, hata nyie mnabadilika sana lkn tunawavumilia. Wengi tu wanabadilika baada ya ndoa, ndo maana hata sie tunatafuta suluhu nje ya mahakama, mmetufanya tuwe hivyo.
 
Wakuu,

Mida ya saa 8 nikaamka nikazama toilet na simu ya wenyewe.

All in all sijaumia sana i think nilitegemea kukuta worse.

Ofcourse msgs huwa zinafutwa na chat kuwa archived. Nimekuta chat niliyokuwa naitaka ina msgs mbili za mahaba zilizotumwa kutoka upande wa pili saa 6 usiku. Nasikitika sijapata kuona reply za baby wangu huwa zinakuwaje.

Ila nimezireply mimi (nilichojibu nakijua mwenyewe ila nimetaka wote wawili wajue nilipitia hiyo chat)

Nimeamka kama hakuna lolote, nimeenda kazini na sasa niko njiani kurudi. Saa 7 mchana nilipigiwa simu ya kujuliwa hali nikajibu kwa bashasha kabisa.

I cant wait to look into his eyes maana najua kashajua...

NB: Wazee wa “loose balls” mmenichekesha hadi nikasahau maumivu kwa muda

Ah.. we nawe bana! Mi nilijua una mpango wa kumpiga chini ndio maana unahangaika usiku usiku hulali na masimu ya watu, kumbe huna lolote bado upo nae? Sasa shida yote ya nini? Mi apa nilikua nasubiri nisikie baada ya kuona meseji jinsi ulivyoliamsha timbwili usiku usiku, jinsi ulivyovunja vitu, ngumi zilivyotembea, mpaka polisi mlifikishwa saa ngapi na nini na nini nakadhalika... na saa izi utuambie umehamia wapi baada ya kubeba kila kilicho chako ili wengine tuanze mikakati... kumbe bado upo hapo unambwela mbwela tu 🤣🤣🤣

Kama mtu huwezi kumuacha, hakuna haja ya kuhangaika saana kumchunguza ni kujitafutia maumivu na ma stress ya bure!
 
Hizo tabia ni za binadamu yoyote yule, hata nyie mnabadilika sana lkn tunawavumilia. Wengi tu wanabadilika baada ya ndoa, ndo maana hata sie tunatafuta suluhu nje ya mahakama, mmetufanya tuwe hivyo.
Unajua Dilek, sisi wanaume hua tuna mahitaji machache sana kutoka kwenu. Kubwa likiwa ni hilo la kupewa vitu kunako 6x6. Mengine yoote tunyimeni lakini mkishaanza kutubania hapo, kwakweli mnakua mnatufukuza kabisa na lazima tuu hiyo huduma tutaenda kuitafuta kwingine.
 
Wakuu,

Mida ya saa 8 nikaamka nikazama toilet na simu ya wenyewe.

All in all sijaumia sana i think nilitegemea kukuta worse.

Ofcourse msgs huwa zinafutwa na chat kuwa archived. Nimekuta chat niliyokuwa naitaka ina msgs mbili za mahaba zilizotumwa kutoka upande wa pili saa 6 usiku. Nasikitika sijapata kuona reply za baby wangu huwa zinakuwaje.

Ila nimezireply mimi (nilichojibu nakijua mwenyewe ila nimetaka wote wawili wajue nilipitia hiyo chat)

Nimeamka kama hakuna lolote, nimeenda kazini na sasa niko njiani kurudi. Saa 7 mchana nilipigiwa simu ya kujuliwa hali nikajibu kwa bashasha kabisa.

I cant wait to look into his eyes maana najua kashajua...

NB: Wazee wa “loose balls” mmenichekesha hadi nikasahau maumivu kwa muda
Mrejesho umeniumiza sana huu...anyway ni time ya wewe pia kumfanyia ubaya hata mara moja inatosha,
 
Back
Top Bottom