Leo M/kiti Mbowe yupo mkoa gani?

Leo M/kiti Mbowe yupo mkoa gani?

alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
2,032
Reaction score
3,198
Ni karibia wiki mbili sasa M/Kiti taifa (Chadema)na mbunge wa jimbo la Hai alitutaarifu kwamba baada tu ya kumaliza ziara jimboni kwake ataelekea mikoani kuendelea na ziara.

Naombwa kufahamishwa ni mikoa mingapi hadi sasa ameshahutubu na leo ziaraye ipo mkoa gani?

Karibuni.
 
Habari ya mjini kwa sasa in jinsi Kenya wanavyotufundisha demokrasia na kutuonyesha tofauti ya Supreme court na Jecha.Habari ya pili ni masikitiko ya kukosa Noah zetu kutokana na kupigwa na 'wanaume' kwenye makanikia!
 
Naulizia noah yangu jamani napewa lini
 
Vipi Shaka wa mombasa bado anaendelea na uongozi uvccm ?
 
Habari ya mjini kwa sasa in jinsi Kenya wanavyotufundisha demokrasia na kutuonyesha tofauti ya Supreme court na Jecha.Habari ya pili ni masikitiko ya kukosa Noah zetu kutokana na kupigwa na 'wanaume' kwenye makanikia!
Ni kweli kabisa!Funzo pia kwa wafanya siasa za SIFA km jamaa zetu.Walikirupuka kuhukumu juu ya kile kilichofanywa na tume na kukisifia ni chema na sawa.Na hongera wakatoa pia.
 
Back
Top Bottom