Leo kulikuwa na kesi tatu za CHADEMA Arusha zimepigwa tarehe

sokoinei

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,832
566
Kesi ile ya matokeo ya lema inaendelea mashahid wanaendelea kujichanganya,nyingine niile alio kataa zamana lema imerushwa mpaka tarehe 30mwezi wa tatu,nyingine niile ya mkesha wa Nmc ina muhusu dr slaa,tundu lisu na wengine 17 imepigwa tarehe mpaka 23 mwez wa tatu,japo tundulisu yukn mwanza kwa kazi ya uwakil.nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…