ummtotomlito
JF-Expert Member
- Aug 30, 2014
- 532
- 637
Nilimchoka nikamchunia mpaka leo tumechuniana miezi sasa. Sipendi kumuacha mtu kwa makelele maana siku nikimkumbuka nitamtafuta vzr tu.
Huyo anaegongwa gongwaYupi Mkuu,huyo wa mwisho anayegongwagongwa hovyo?Kama ni huyo,utamgonga,umuache,siku hizi kazalishwa,masela wanajigongeagongea
Hahahah kwann tena?
Vichwa Moto kwelikweliDaah watu mlikuwa mmevurugwa
Inafikirisha sana hii.Umenikumbusha mbali make marehemu baba angu alikuwa akiwesema vibaya wanawake weupe asili,so hiyo mentality imenikaa kichwani hadi wa leo na kweli kila nikfatiliaga maisha ya wanawake weupe sana asili wana matatizo sana kuanzia ubintini hadi ndoani.Nadhani ile tunavyowatukuza wakiwa wadogo inawapa kiburi sana na kujiona wao ni bora kuliko weusi/maji ya kunde.Mweupe simpagi first choice hata siku moja.Pia linganisha ndoa au mahusiano yenye migogoro kati ya wanawake weupe na weusi utanikumbuka
Mbona imekuwa ghafla Sana jamani.... Subiri kidogo basi tukumbuke.Mambo vipi watu wa Mungu?
Leo naomba kila mwana MMU ataje sababu iliyopelekea kuachana na mpenzi/wapenzi wake wa zamani.
Tukianza na mimi mleta mada niliachwa coz sikua msabato mwenzie na vile sikua mnyakyusa mwenzake. Na yeye sababu alizonipa kabla ya kanitema ni kwamba wazazi wake walikua wamemwambia wanataka aolewe na mwanaume msabato na vilevile awe mnyakyusa.
Ebu na nyie watu wa Mungu tiririkeni hapa sababu zilizopelekea mahusiano yenu kuvunjika.
N pm namba yake.Wakwanza,alitembea na baba yangu mdogo,wa pili ni malaya,ana maex wengi na wote wakimtaka wanamnyandua japo wengine wameoa.Hana akili ya kujitathmini kwa ufupi,hachagui watoto wala wakubwa,anaachia tu.Najuuutia kudeti nae,anagongwa hovyohovyo hadi na marafiki zangu,ni malaya japo ana kazi nzuri tu.Ni malaya,yaani malaya,ukipata namba yake tu,unamla,tena unamlia kwake,sijui ana pepo la ngono,sijui.
Kuna ukweli, kuna rafiki yangu mkewe ni mweupe hatari ila duuh ugomvi daily, now kamrudisha kwao akapate akiliInafikirisha sana hii.
Yan u apendaga ile paah, paah, paaah,, paaNapendaga mabwawa sijui kwa nini jamani,nikipata ya kubana bana uwa siinjoy kabisa,yaani ile K ambayo tayari imepata uzoefu ndo uwa napenda kushughulika nazo,hasa nampenda ule mlio unaotoka mashineni hd raha,but twakubana hovyo mara kaseme kanaumia,mara karukeruka kule na kule
Hivi huwa mnarudi kweli ?Nitarud baadae
Kwa kweli ni wapuuzi mno, nashindwa kuwaelewa....wewe mtu unaamka unawaza kupiga mzinga wanaume kila kukicha ili usaidie jirani na ndugu zako. Ndiyo maana unakuta wanawake wengi sana wanabakia kuchezewa tu, hakuna mwanamme anayetaka mwanamke asiyejituma.Ilo ni tatizo kubwa sana, kwa wasichana wanataka wajione wasaidizi wa family. Kumbe wanatuletea stress kubwa ktk ndoa
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Sijawahi achana na ex, wote wapogo, na wote ni wangu mpaka leo japokuwa wameolewa huko waliko!Mambo vipi watu wa Mungu?
Leo naomba kila mwana MMU ataje sababu iliyopelekea kuachana na mpenzi/wapenzi wake wa zamani.
Tukianza na mimi mleta mada niliachwa coz sikua msabato mwenzie na vile sikua mnyakyusa mwenzake. Na yeye sababu alizonipa kabla ya kanitema ni kwamba wazazi wake walikua wamemwambia wanataka aolewe na mwanaume msabato na vilevile awe mnyakyusa.
Ebu na nyie watu wa Mungu tiririkeni hapa sababu zilizopelekea mahusiano yenu kuvunjika.
Ndo ile kauliwa wanaume wote mbwaaaKuna mmoja nimekutana nae mwaka jana anaitwa jina Subi kwa kifupi au Subira demu mkali shape nzuri paja na tako vipovema ila shida moja ana ka harufu fulani kwenye uke wake ambayo ni kero kwangu hadi nikamuuliza hii harufu ninini hasemi nikalala nae mara mbili sababu tamaa ya nyeg** tu nikammwaga, akaishiakulalamika tu "Nilijua vijana tu ndio wanazingua kumbe hata wakubwa kama wewe" tunaonaa kitaa ila mzgo niliacha kitambo toka Desemba
sasa bibi anamuhusu nin tenaqmwanamke fulani hivi maarufu sana katika kituo cha redio fulani...hakuridhika na jamii yangu..mara nduguyo ni mwebamba mara bibiyo amezeeka sana mara binamu zako hivi..ikawa vigumu kumvumilia nikampotezea
I see.... Nakusalimia sanaNitarud baadae