NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,859
- 5,145
Wangapi wamekufa wamevaa elementNa ukipasua bichwa pindi mtakapo teleza
Unalinda nn wakati uhai upo kwenye hatari kila sehemu
Inaweza kua wengi lkn walio tutengenezea bike na kweny sehem za kaz sio wajinga kusisitiza kuvaa elementWangapi wamekufa wamevaa element
Kwa hiyo unadhani sanitizer inapakwa mikononi tu? Kwani sanitizer maana yake nini?Mnafikiri nimeandika utumbo hata mimi napenda uhai wangu na kwa vile hiyo njia ni kijijini naipita kila siku nikienda kazini nimenunua helment yangu natembea nayo.
Mnaosema sanitizer niwaulize je unaweza paka sanitizer masikioni?
Kumbukeni hii sio ATM machine bank unapaka sanitiser mikono mlioponda wengi humu ni wa mazingira ya kimjini akili zako na za kuambiwa changanya