Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,334
hayaKazi nilioianza miaka mingi nikiwa kwa Padre Ricardo Maria(Pekupeku) Morogoro ya kuandika Kitabu Kitakatifu kipya cha "DOGUMA" hatimaye leo nimekikamilisha nikiwa mapumzikoni wilayani Magu.......Taratibu zingine zitaanza za uchapaji na Kusanifu, sitashirikisha mtu katika hili maana ni MAONO.
Deogratius Nalimi Kisandu
Kama humshirikishi MTU mbona ulishamshirikisha Ricardo
Mkuu Wa wilaya kama haushirikishi kwa nn unatuambia na ni nani unamuandikia?
Ebu fikir hayo mausasa yasingekuwepo ungetufikiaje?
Ebu eleza kwa maneno maono yako
Punguza munkari.Kama humshirikishi MTU mbona ulishamshirikisha Ricardo
Mkuu Wa wilaya kama haushirikishi kwa nn unatuambia na ni nani unamuandikia?
Ebu fikir hayo mausasa yasingekuwepo ungetufikiaje?
Ebu eleza kwa maneno maono yako
Correction:Kitabu hakina sifa ya kuwa kitakatifu isipokuwa maandiko peke yake.Kipe jina lingine .Labda Doguma TukufuKazi nilioianza miaka mingi nikiwa kwa Padre Ricardo Maria(Pekupeku) Morogoro ya kuandika Kitabu Kitakatifu kipya cha "DOGUMA" hatimaye leo nimekikamilisha nikiwa mapumzikoni wilayani Magu.......Taratibu zingine zitaanza za uchapaji na Kusanifu, sitashirikisha mtu katika hili maana ni MAONO.
Deogratius Nalimi Kisandu
Punguza munkari.
Amesema kakiandika akiwa kwa huyo Ricardo SIO kamshirikisha.
Pili, Kwani shida nini kama kaamua kutomshirikisha yeyote?
Kabla ya kufika Mbagala Chamanzi kuna Muhimbili (Milembe) ya Dar, DODOMA pia kupo ila naona uyu jamaa aletwe tu uku Dar apate matibabu sahihi.Kazi nilioianza miaka mingi nikiwa kwa Padre Ricardo Maria(Pekupeku) Morogoro ya kuandika Kitabu Kitakatifu kipya cha "DOGUMA" hatimaye leo nimekikamilisha nikiwa mapumzikoni wilayani Magu.......Taratibu zingine zitaanza za uchapaji na Kusanifu, sitashirikisha mtu katika hili maana ni MAONO.
Deogratius Nalimi Kisandu
Kamanda si bora usingechangia tu, kulikuwa na haja kutumia neno hilo?!Kitabu cha nyege
Deogratius Kisandu Na wafuatiliaji wa machapisho yake wamenielewa vyemaKamanda si bora usingechangia tu, kulikuwa na haja kutumia neno hilo?!