Leo 1/4/2018 nimekamilisha Uandishi wa Kitabu Kitakatifu cha "DOGUMA Takatifu"

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,332
Kazi nilioianza miaka mingi nikiwa kwa Padre Ricardo Maria(Pekupeku) Morogoro ya kuandika Kitabu Kitakatifu kipya cha "DOGUMA" hatimaye leo nimekikamilisha nikiwa mapumzikoni wilayani Magu.......Taratibu zingine zitaanza za uchapaji na Kusanifu, sitashirikisha mtu katika hili maana ni MAONO.

Deogratius Nalimi Kisandu
 
Kama humshirikishi MTU mbona ulishamshirikisha Ricardo
Mkuu Wa wilaya kama haushirikishi kwa nn unatuambia na ni nani unamuandikia?

Ebu fikir hayo mausasa yasingekuwepo ungetufikiaje?

Ebu eleza kwa maneno maono yako
 
haya
 
Punguza munkari.
Amesema kakiandika akiwa kwa huyo Ricardo SIO kamshirikisha.
Pili, Kwani shida nini kama kaamua kutomshirikisha yeyote?
 
Kazi nilioianza miaka mingi nikiwa kwa Padre Ricardo Maria(Pekupeku) Morogoro ya kuandika Kitabu Kitakatifu kipya cha "DOGUMA" hatimaye leo nimekikamilisha nikiwa mapumzikoni wilayani Magu.......Taratibu zingine zitaanza za uchapaji na Kusanifu, sitashirikisha mtu katika hili maana ni MAONO.

Deogratius Nalimi Kisandu
Correction:Kitabu hakina sifa ya kuwa kitakatifu isipokuwa maandiko peke yake.Kipe jina lingine .Labda Doguma Tukufu
 
Kazi nilioianza miaka mingi nikiwa kwa Padre Ricardo Maria(Pekupeku) Morogoro ya kuandika Kitabu Kitakatifu kipya cha "DOGUMA" hatimaye leo nimekikamilisha nikiwa mapumzikoni wilayani Magu.......Taratibu zingine zitaanza za uchapaji na Kusanifu, sitashirikisha mtu katika hili maana ni MAONO.

Deogratius Nalimi Kisandu
Kabla ya kufika Mbagala Chamanzi kuna Muhimbili (Milembe) ya Dar, DODOMA pia kupo ila naona uyu jamaa aletwe tu uku Dar apate matibabu sahihi.

moderators na uongozi mzima wa JAMII forum uyu mtu anahitaji msaada mkubwa sana tena sana. Please tumsaidie uyu mtu, anafundisha watoto wa kitanzania na hali hii aliokua nayo? aiseeee, nawaonea huruma wanafunzi wake.
 
Akili zake alisahau tumbuni alikumbuka kuchukua moja tu ambayo yakuvalia suruali basi
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom