Habari zenu?
Simu ya Lenovo S60,inauzwa 400k au exchange kwa simu yenye ukubwa na sifa zinazofanana,nitakupatia na cover for free,simu na charger na boksi lake.
Angalia picha kwa Maelezo zaidi.
Simu alikuwa anatumia wife ameamua kubadilisha simu,imetumika miezi 3.Simu IPO Arusha town
Mawasiliano njoo PM