Lenovo mini Laptop kwa bei poa kabisaa(280,000)

J Mbungi

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
262
72
Nauza laptop yangu nzuri kabisa(well handled) Processor-1.5, RAM -4GB ,HARD DISC 320GB.
with WEBCAM
Mwenye kuhitaji anitafute call/whatsapp 0762466293(currently nipo Zanzibar ila naweza kukuletea Dar tukishakubaliana)
 
Attachments

  • IMG_20190609_154845.jpg
    IMG_20190609_154845.jpg
    175.7 KB · Views: 25
  • IMG_20190609_155001.jpg
    IMG_20190609_155001.jpg
    130.3 KB · Views: 24
Tumeshusha bei Sasa 200,000/=
Nauza laptop yangu nzuri kabisa(well handled) Processor-1.5, RAM -4GB ,HARD DISC 320GB.
with WEBCAM
Mwenye kuhitaji anitafute call/whatsapp 0762466293(currently nipo Zanzibar ila naweza kukuletea Dar tukishakubaliana)
[/QUbei
 
Mkoa inakuwaje?
Haina shida nakutumia..

Ukifuatilia post zangu Mimi ni MTU muaminifu na ninayetambulika kwa utambulisho kamili..(siyo majina bandia na picha yangu unaiona.

Kama hupo mkoa wowote nitakutumia kwenye basi itakufikia.

Ila Sasa itabidi uongeze japo elf20, inisaidie kukutumia hiyo laptop.

(Kwasababu Nina issue ya muhimu imenibana..Nataka kuongezea hiyo pesa nimalize shida yangu.

Nimeipunguza kutoka 280,000 kuja 200,000 ni kwasababu hiyo tu..nipate pesa haraka..

Njoo direct call/whatsapp +255762466293 tuelewane.
 
Mkoa inakuwaje?
Njoo kwa direct call/whatsapp +255762466293.

Nitakutumia wala haina shida.

Ukifuatlia post zangu utajua kuwa Mimi so mgeni hapa jamvini..hivyo uhakika wa kukutumia laptop yako hupo tulishaelewana.
 
Nauza laptop yangu nzuri kabisa(well handled) Processor-1.5, RAM -4GB ,HARD DISC 320GB.
with WEBCAM
Mwenye kuhitaji anitafute call/whatsapp 0762466293(currently nipo Zanzibar ila naweza kukuletea Dar tukishakubaliana)
120k
 
nashauri uongozi JF waunde majukwaa ya matagazo ya biashara kwa aina ya bidhaa: mfano magari, laptop/desktop, nguo, asali, simu, vyombo vyq majumbani nk yajitegemee maana kuna wakati mnunuzi anahitaji mali haraka haraka unakosa pa kuanzia. nyuzi nyingi. hasi zinakanganya kama wanaotukia simu ndio basi.

pia itapunguza kero ya watu wanaodandia posts za wenzao. mtu anajua ku-log in JF haweki tangazo ila anasubiri muungwana anaanzisha tangazo lake naye anadandia papo hapo. hii ni zaidi ya kero kama sio tuuite ushamba kabisa.
 
Back
Top Bottom