Lengo la Kurwa ni Nusu fainali, lengo la Doto ni kuingia Makundi

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,128
16,102
Kurwa kachanganyikiwa, Doto ndio hajui hata pa kutokea. Wachambuzi wa mchongo wanawapa matumaini Masupu FC A.K.A misuli ammi rojo kuwa watapindua meza.

Huu ni uongo, ndio kwishnei. Hesabu zinakataa, hamfungi mwarabu hata mmoja sana atapata point 3 za wale waghana akichanya na 1 ni 4 ndio keshaaga mashindano. Lengo limetimia, maafisa habari badala ya kujikita kwenye weledi wapo kuwatia moyo mashabiki.

Pindi Manara alikuwa anaipa kila mechi slogan yake alikuwa na timu ya kweli.

Si hii ya mambo ya Kamwe na Privaldinho hujachungulia mechi maneno kibao mganga wa unguja kajitahidi kapata sare msimuwache!

Msiwache kuvaa misuli!
 
Thithi yanga malengo yetu yemetimia nguvu tunahamishia kwenye ligi
F_xpC56XoAAdYv-.jpeg
 
upuuuzi wa kuanza kushabikia mpira miaka ya hivi karibuni kwamba simba ni kurwa kwa yanga pumbavu
 
Kurwa kachanganyikiwa doto ndio hajui hata pa kutokea wachambuzi wa mchongo wanawapa matumaini masupu fc A.K.A misuli ammi rojo kuwa watapindua meza urongo ndio kwishnei hesabu zinakataa hamfungi mwarabu hata mmoja sana atapata point 3 za wale waghana akichanya na 1 ni 4 ndio keshaaga mashindano lengo limetimia,mafsa habari badala ya kujikita kwenye weledi wapo kuwatia moyo mashabiki,

Pindi manara alikuwa anaipa kila mechi slogan yake alikuwa na timu ya kweli .

Si hii hya mambo ya kamwe na privaldinho hujachungulia mechi maneno kibao mganga wa unguja kajitahidi kapata sare msimuwache!
Msiwache kuvaa misuli!
Ukifatilia historia Kurwa ni Yanga na Doto ni Simba maana Yanga ndio iliyoanza kuanzishwa. Lakini hata Yanga malengo yalibadilika baada ya kuingia group stage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kurwa kachanganyikiwa, Doto ndio hajui hata pa kutokea. Wachambuzi wa mchongo wanawapa matumaini Masupu FC A.K.A misuli ammi rojo kuwa watapindua meza.

Huu ni uongo, ndio kwishnei. Hesabu zinakataa, hamfungi mwarabu hata mmoja sana atapata point 3 za wale waghana akichanya na 1 ni 4 ndio keshaaga mashindano. Lengo limetimia, maafisa habari badala ya kujikita kwenye weledi wapo kuwatia moyo mashabiki.

Pindi Manara alikuwa anaipa kila mechi slogan yake alikuwa na timu ya kweli.

Si hii ya mambo ya Kamwe na Privaldinho hujachungulia mechi maneno kibao mganga wa unguja kajitahidi kapata sare msimuwache!
Msiwache kuvaa misuli!
Yanga amecheza mechi nane kwenye hatua ya group stage ya Caf champions league tokea 1998 hajawahi kushinda hata mechi moja kafungwa 5 katoka sare 3 so yanga are winless in their 8 Caf champions league games 5 defeats and 3 draw.
 
Umeandika ujinga tu hapa. Bora ukaendelea tu na kazi yako ya kuwalamba miguu mabosi wako hapo Lumumba kwa ujira wa buku 7 kwa siku.

Huku kwenye michezo, hakukufai.
 
Umeandika ujinga tu hapa. Bora ukaendelea tu na kazi yako ya kuwalamba miguu mabosi wako hapo Lumumba kwa ujira wa buku 7 kwa siku.

Huku kwenye michezo, hakukufai.
NIshakuwachia waarabu mnao hao yanga kamaliza jana simba kazi anayo tarehe 9 dec siku ya sikukuu!
 
Back
Top Bottom