Watumiaji wa pombe wengi wanamaisha mazuri sana na siyo wabeya hata kidogo. Madawa ya kulevya ni ujinga yanaharibu akili. Usipotumia pombe mara nyingi utakuwa mzinzi au mpiga umbeya.
money is what money does kusema kutumia hela kunywa pombe ni kuteketeza hela sijui ulitaka hiyo hela ifanyanyaje kumbuka Uchumi ni muzunguko ili serikali ipate fedha za kujenga miundombinu kule kijijini kwenu na madawa yapatikane hospitalini ni lazima ikusanye kodi-na kodi zinatoka huko huko kwenye viwanda vya bia au hujui viwanda vya bia ndio vinaoongoza kwa kulipa kodi.
Pia kumbuka duniani ulizaliwa peke yako na utakwenda kaburini peke yako,hivyo hoja ya kupunguza life span is bullshit kwa vyovyote vile utakufa na sijui hoja ya pombe ina punguza life span ulipata wapi?? maana huko Urusi watu wanakunywa pombe kama Maji na ndio wanaongoza kwa kuishi miaka Mingi!.
Je wajua kwamba??
1.Ukiacha Anasa
2.Ukala vizuri
3.Ukafanya mazoezi vizuri
4.Ukiacha kunywa Soda
5.Ukiacha kumichana
6.Ukiacha kunywa pombe,whiskey,wine,brand, Gin viroba na sigara.....Ipo siku UTAKUFA TU
Watu wanaotumia vilevi[kupindukia] wana lengo la kukwepa uhalisia sababu ya mambo kuwa wasivyotaka.....hivyo wanajiondoa ufahamu ili wasikumbuke magumu wanayopitia walau kwa muda.
Kuna wanaotumia kutokana na kushawishiwa na makundi yao, lakini si wote watakaoendeleza ulevi.
Kuna vilevi kwaajili ya starehe tu kama vile pombe kiasi, weed......n.k.