- Yaani kweli hujaona picha nikiwa Zanzibar na Jestina kwa wakwe zake na nikiwa Dar na Mamen Meru? please ugomvi na nani juzi nilikuwa Escape 1 na Jestina au wapo 2 nini?
- Yaani kweli hujaona picha nikiwa Zanzibar na Jestina kwa wakwe zake na nikiwa Dar na Mamen Meru? please ugomvi na nani juzi nilikuwa Escape 1 na Jestina au wapo 2 nini?
Le mutuz alikuwa na nafasi kubwa ya kuzungushwazungushwa kwenye hivi vyeo vya kupeana alivyotoka US. Kila mtu alimuona mtu wa maana mpaka alipoanza kufungua mdomo.
Sometime huwa nawashukru wazungu kutuletea kondomu wanatuepusha mabalaa ya baadae,mfano mzee wake angetumia usiku ule angezaa hili lizezeta lisilojitambua?