fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Akiongea ITV jioni hii, Mbunge LEMA amesema kama pinda angekuwa CDM wangemvua UPM na Ubunge, pia wangemfikisha mahakamani kwa yale yaliyotokea kwenye operation kimbunga na tokomeza. Aidha Mawaziri wote wane angevuliwa hadi uanachama kwa fezeha walizofanyiwa wananchi.
Lema amesema CC ya CDM iko makini ktk kufanya maamuzi makubwa ya kuwaajibisha viongozi ndan ya CDM kwa makosa au shutuma zinazomkabiri.
Mtu au raia mmoja akiteswa rais achukkulie kama mmoja ktk familia yake ya damu ameteswa hivyo awe makini na serious kufatilia sualahilo.
Mtangazaji amembana mbunge OBAMA kuhusu CCM kushindwa kufukuza mafisadi, OBAMA kama waliyo wenzake ameshindwa kujibu anadai hata kijiji kinamafsadi, unaongelea wa kkijijn wakati swali ni la kitaifa??
Nawasilisha
Kamvue uenyekiti Mbowe kwanza kabla hujanyooshea wengine vidole
KUB anatumia cheo kufanyia uzinzi ni aibu kubwa kwa chadema na taifa

Kinachoongelewa hapa ni utendaji mbovu wa waziri mkuu na mawaziri wengine,Mbowe ametoka wapi? Au ulitaka atembee na wewe ndio ufunge mdomo? Chadema hakuna mash*ga, ungefanya jambo la maana kurudisha rambirambi za mke wa mwangosi ulizokula ndio uje kupiga umbea huku.

Nasikia upo busy unakusanya rambirambi za mgimwa kwa usiri mkubwaKamvue uenyekiti Mbowe kwanza kabla hujanyooshea wengine vidole
KUB anatumia cheo kufanyia uzinzi ni aibu kubwa kwa chadema na taifa
Mbona unamtukana Lema tena?Kinachoongelewa hapa ni utendaji mbovu wa waziri mkuu na mawaziri wengine,Mbowe ametoka wapi? Au ulitaka atembee na wewe ndio ufunge mdomo? Chadema hakuna mash*ga, ungefanya jambo la maana kurudisha rambirambi za mke wa mwangosi ulizokula ndio uje kupiga umbea huku.
Unataka tuweke wazi uzinzi wa viongozi wako wa juu?? na hali zao???