😛eace:makanda hao wamekuja hapa wilayani kushriki mazishi ya aliyekuwa mgombea wa chadema ndg.parakipunyi kupitia chadema 2010.hata hivyo kamanda lema amekuwa kivutio kikubwa ambapo kila mtu alitaka kumuona na wananchi wamefurahi namna walivoshiriki mazish haya.kesho anatarajia kufanya mkutano mkubwa wasso hapa loliondo.
Mnapenda kumchezea Mungu. Lema mwenyewe jambazi sugu afu mnazuga ukijiunga cdm umeokoka, ------- kabisa
Mnapenda kumchezea Mungu. Lema mwenyewe jambazi sugu afu mnazuga ukijiunga cdm umeokoka, ------- kabisa
Thibitisha ujambazi wa Lema, la si hivyo wewe ni muongo na unastahili ban!Mnapenda kumchezea Mungu. Lema mwenyewe jambazi sugu afu mnazuga ukijiunga cdm umeokoka, ------- kabisa