Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,759
- 218,380
Ila style yake ya kutoka chozi jicho Moja Kali sana,akimlilia Hakim vile atapata dhamana
Wamiliki wa magari hakuna hata mmoja aliyewahi kuwaza eti Mh Lema ni mwizi!! Wewe ambae hujawahi hata kumiliki Bajaji licha ya gari unaleta uharo wako hapa.Lema mwenyewe ni Mwizi wa magari muda sana
Crap. This is too low for you. Ni gari gani ya kwako aliyoiba?Lema mwenyewe ni Mwizi wa magari muda sana
Na upumbavu huu umeletwa na serikali ya CCM, kitendo cha kuifanya nchi iwe kama choo haya ndio matokeo yake, 🆔 ya Mh Lema ingekuwa blacklisted kwa wizi wa magari (awe ameshatiwa hatiani na mahakama na kufungwa jela)hata tusingemsikia kwenye politics za nchi maana ID yake ingemsaliti kuwa huyu alishawahi kuhukumiwa means hawezi kugombea uongozi au kuomba kazi popote nchini, sasa mimi ninaiba na kuhamia musoma maisha yanaendeleaLema mwenyewe ni Mwizi wa magari muda sana
Alaa kumbe Jizi tu.Lema mwenyewe ni Mwizi wa magari muda sana
Mimi niliibiwa Pick-up, lema ni mwiziCrap. This is too low for you. Ni gari gani ya kwako aliyoiba?
Comment imekaa kimaskini sana hii. Tafuta pesaUkweli ni kwamba Sabaya ni mwovu. Lakini ukimlinganisha na Makonda au Biswalo, Sabaya ataonekana ni mtakatifu.
Ukiongea na wale waliobambikowa kesi za uhujumu uchumi, yawezekana Biswalo atakuwa mtu wa pili aliyewahi kupora pesa nyingi za watu, kuliko mtu yeyote nchi hii.
Huyu Biswalo ni lazima siku moja ahukumiwe sawasawa na uovu wake. Kwa uovu alioutenda, laana itembee naye daima.
Si ukamkate?! Mbona still yuko uraiani? Acha kumchafua majina ya watu kwa uzushiIla style yake ya kutoka chozi jicho Moja Kali sana,akimlilia Hakim vile atapata dhamana
Uko sahihi ni mwizi mmoja huviLema mwenyewe ni Mwizi wa magari muda sana
Sorry nilikuwa najibu kwingine, hii ni teckno mkuu
Low mind kama ulipataje hiyo gari?Mimi niliibiwa Pick-up, lema ni mwizi
Una ushahidi mkuu? Au ndo Ile mambo ya kuchafuana Jina kwa uzushi? Mbona hamumshitaki?! Anapeta tu uraiani na aingia mpaka bugeni?Lema mwenyewe ni Mwizi wa magari muda sana