Lema atetea wana Arusha kero ya maji bungeni leo

Lema atetea wana Arusha kero ya maji bungeni leo

arusha sema

Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
14
Reaction score
0
Mh. Lema, mbunge wa Arusha mjini ameuliza swali bungeni ni lini mpango wa serikali wa kusambaza maji mkoa wa Arusha utatekelezwa?

Taarifa zinaonyesha wananchi wanaopata maji ni chini ya 38 %.
 
Ila bado hajajua kuongea bungeni, bado anaongea kwa woga fulani na kwa kusitasita, taratibu atazoea tu.
 
msalani wewe ulitaka aongee je? au ndo muendelezo wa kukosoa kila kitu? kama ameweza kuongea na maelfu ya wapiga kura wake, mikutano mbali mbali ya kitaifa atakuwa na woga wa kuongea mbele ya wabunge wenzake. kamanda lema is confidence enough
 
Back
Top Bottom