Hii ni baada ya Polepole kuropoka kwamba CCM itashinda ubunge Arusha Mjini .
Lema amemtaka Polepole kuchukua fomu yeye mwenyewe binafsi na apande jukwaani ili kupambana naye kwa lengo la kukata mzizi wa fitna , Polepole pia ameombwa kuchukua polisi wote wa Arusha wamlinde yeye tu na kura zote za polisi apewe polepole , halafu tuone mwisho wa siku nani ataibuka mshindi
Nawaamini sana wana Apollo wa Arusha,sio legelege kama wanaume wa Tanga au Jiji kuu.
Lema anajiamini sana kutokana na hulka ya vijana wa Arusha.Hawazulumiki ukiwaibia lazima wakinukishe kisawasawa...
mkuu 2020 ni uchaguzi very tricky , hata jiwe mwenyewe hajui itakuwaje , wapinzani kususia huu uchafu wa serikali za mitaa umeifanya dunia ielewe uchafu wa Tanzania na kuwasha tochi kali sana !
2020 hakutasalia hata kiti kimoja cha upinzani nchini maana hakuna uchaguzi ila kupita bila kupingwa, mbele ya jiwe ni bora wafe watu ushindi upatikane. Jiandae Lema.