Legend of the seeker

Ndio yenyewe lkn nimeona season 1 peke yake
Mmmh we ishatoka,mi nimeangalia hadi pale quin anakufa,yule kijana special anachukuliwa na watu anaofanana nao,mke wa quin anarudi kwa baba yake anaomba msamaha na anabatizwa upya,yule jamaa star anakuja kuzinduka anapelekwa mj tofaut na badland huku kamuacha demu wake ana mimba aiiwa bandland ,we umeona mwisho wapi
 
Yaap iyo season 1 tu ndio tumefika sasa uliposema adi 6 nilishangaa kidogo
 
Yaap iyo season 1 tu ndio tumefika sasa uliposema adi 6 nilishangaa kidogo
Heeeee jamaniii ina maana hivyo ni vipande tu mbona ndefu sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…