Legend of the seeker

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,087
Reaction score
72,502
Napenda movie za aina hiii hua zinanifurahisha sana nyingine ni Merlin hawa watu wanajua kuigiza kiukweli,pia story zao tamu balaa,,kwa aliewah kuziona hizi movie anajua namaanisha nini,sasa hawa wa kwetu wanavyoigiza jamani bora waache tu wafanye mambo mengine tu maana yanachefuaa,wakasome ikiwezekana kama wanataka kuigiza hawajui kabisa
Mi ntaendelea kuangalia hiz movie bana uzalendo my foot huyu mzee kwenye picha hapa anaitwa zedd jina la uigizaji kaigiza vyema kabisa huo uchawi ,anachekesha,pia huyo seeker,na huyo dada confessor huchoki kuangaliaaa
 
Hivi huyo kaka hapo ndo yule wa kwenye Game of thrones?
 
Mzee Zed wizard of the first order , kaipendezaesha sana hii muvi.
 
Mzee Zed wizard of the first order , kaipendezaesha sana hii muvi.
Acha kabisa huyu mzee yaan ni sheedah,amenifanya naangalia hii movie hainichoshi,ina vitu tofaut tofaut
 
series zinanishinda sana
 
Hii series ya zamani sana...iliishiaga season 2


Wameendeleza?
 
Unapenda Merlin na seeker wachawi hao,wanafanya uchawi uonekane ni kitu kizur..ndugu isije ikakuingia roho yabkichawi binafsi nimequit kuzicheki hizi.
 
Now nazoangalia...shooter...Ds...blacklist...blindspot...chicago pd...ransom...chicago fire....pure genius...chicago med..homeland
Ooohhhhhh utanirushia
 
Mi naipenda na MERLIN pia kuna mzee yule kama huyu zinafurahisha saaana! Pia A MAN CALLED GOD si mbaya pia
 
Muv mbn ya zamani hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…