Legal officer niko tayari kufanya kazi bure

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
296
181
Wakuu habari zenu

Mimi ni kijana mwenye degree ya sheria nataka kazi ya legal officer. Niko tayari kufanya kazi bila ya malipo.
 
Kajitolea halmashauri yoyote watakupokea lakini sio za Dar kumejaa watakwambia
 
miss chagga
Habari yake haijakaa vizuri, angejieleza vizuri na watu wangeweza hata kumsaidia "Mimi ni kijana mwenye degree ya sheria nataka kazi ya legal officer. Niko tayari kufanya kazi bila ya malipo". graduate unaomba kazi kwa mtindo huu tena wana sheria?
 
nimekuelewa mkuu
 
Wakuu habari zenu

Mimi ni kijana mwenye degree ya sheria nataka kazi ya legal officer. Niko tayari kufanya kazi bila ya malipo.

Kumbe unaweza kufanya Kazi bure sasa unataka tukusaidiaje Mkuu? Sikutegemea a very competent legal officer angekuja na uzi huu au tangazo hili hasa kwa Great Thinkers waliotukuka wa JF. Kweli naanza sasa kuamini kuwa Vyuo Vikuu vyetu havina tija na Elimu ya Tanzania ipo ICU kabisa. Uzi wako umenifanya nione tofauti kubwa mno ya nyie Wanasheria wa sasa Vijana na wale Wanasheria mahiri kabisa wa zamani akina Masumbuko Lamwai, Tundu Lissu na Kibatala.
 
Ma Great Thinkers umethibitishwa na Nani!? Kwa kigezo gani? Kwa ushaidi gani?
Njoo na Ile ID Tulioizoea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom