tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,894
- 19,778
Huyu hafiki hata mwezi wa 7 tumemsahau yeye n wajinga wenzake,alifanya nchi ya mama yakeNahisi huruma sana jinsi hii kitu inayolazimishwa legacy ya Magufuli kwa sababu, kwanza ni nature ya Mwanamke kuwa na Huruma, pili asili ya mtu na makuzi yake.
Ninapojaribu kuwaza jinsi ambavyo itakuwa ngumu kuenzi mambo ya Mtangulizi wa Samia! Ni kwa hulka za hawa wawili kutofautiana sana. Hivyo watanzania watakuwa ama wakumbuke kuendelea kunzi ukatili katikati ya mtu mwenye huruma, au waenzi ukatili ulio kinyume na mtawala wa sasa ambae kwa hulka ya asili yake na makuzi yake sio mtu KATILI. Ukijaribu kurejea hotuba za mwanzo kabisa za Samia unakutana na maneno 'sitaki fedha ya dhulma'.
Viongozi tuwe kitu kimoja, fungueni vyombo vya habari, na mengine mfano wa hayo utajua kwamba hii kitu inayohimizwa sana na kambi ya D7 (legacy) itakuwa ngumu kudumu kwa sababu Magu atakumbukwa sana kwa ukatili kuliko mambo mengine kwa sababu ya aina MRITHI wake.
Hivyo kambi D7 tuwe wavumilivu
Anaweza kuja mwingine ambaye atajenga,lkn lazima tumpongeze kwa Kazi nzuri aliyoifanya.Thanks
Haya basi ameshakufa kwa hio hatakuja rais mwingine wakujenga.
Na kwa sababu hii miundombinu ndo haitajengwa Tena hapa Tanzania.
Loooh masikini,tumekwisha.
Wanywe bia au watoe sadaka hakuondoi ukweli kwamba malaika anakula vitasa mahalinikadhani aliowachukia wako kanisani wanamuombea.
ujue Mungu si wa maharamia,ndio sababu kwenye hili hawataki kumpa sifa kwa kumtolea sadaka,bali wanalewa pombe ili kumsifu lucifer mkuu wao.
Sawa mkuu.Hao ni kuachana nao.Achana nao hao mafala
Juhudi ya 16% ya watanzania haiwezi uwa legacy ya JPM
Magufuli ndio kwanza anachipua na kuchanua katika mashina ya watanzania zaidi ya 84%
JPM aliishi, anaishi na ataendelea kuishi...... mnaoumia na kupambana asahaulike mtakufa kwa kihoro
Mnahangaika sana kumpaka misifa fake. Hana sifa yoyote ya ajabu. Kashasahaulika kabla ya 40[emoji28][emoji28]
Tuachane we na nani?Jina la JPM litaishi mioyoni mwa mamilioni ya watanzania daima.Mlishindwa kumchafua alipokuwa hai,haitowezekana hivi sasa,endeleeni kuumia roho😅Kwani Meko alikua ni nani hasa yeye? Mbona mnazuia watu wasiteme nyongo zao za miaka 5? Alikua ni Rais wa hovyo kuwahi kuitawala Tanzania...
Meko ashakufa hivyo tuachane na habari zake, nchi iko mikononi mwa Mama anaiendeleza na kufuta upuuzi wote uliowekwa na mtangulizi wake..
Unagombana na nani?Kwani Meko alikua ni nani hasa yeye? Mbona mnazuia watu wasiteme nyongo zao za miaka 5? Alikua ni Rais wa hovyo kuwahi kuitawala Tanzania...
Meko ashakufa hivyo tuachane na habari zake, nchi iko mikononi mwa Mama anaiendeleza na kufuta upuuzi wote uliowekwa na mtangulizi wake..
Ungemsahau hata jina lake usingeandika...Daa mi nshasahau kama kuna binadamu alikuwa anaitwa magufuli[emoji23][emoji23][emoji23]
Allahuma AminiAtakaye mkumbuka dikteta alaaniwe yeye na uzao wake wote
Mmh sawa ila mungu akujalie kizazi chako chote kiwe natabia ya mwendazake InshalllahJuhudi ya 16% ya watanzania haiwezi uwa legacy ya JPM
Magufuli ndio kwanza anachipua na kuchanua katika mashina ya watanzania zaidi ya 84%
JPM aliishi, anaishi na ataendelea kuishi...... mnaoumia na kupambana asahaulike mtakufa kwa kihoro
Ubarikiwe Allah akujalie kizazi chema kiwe na ellimu na ufahamu InshallahDaa mi nshasahau kama kuna binadamu alikuwa anaitwa magufuli[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu you have spoken well(well said)magu is gone.Magufuli is dead.
Hawezi tena kudhuru mtu au kumnufaisha.
Soon utaona axis of power ikimzunguka mama kikamilifu na hapo kidogokidogo utaona raia wanaachana na mambo ya Magufuli.
Magufuli will be phased out very soon, hasa mama akileta Neema
Legacy yake imebaki kwa keyboard warioirs kama wewe jingalao na wengineo. Huku mtaani hakuna kitu inaitwa legacy, sana sana utasikia shule nzima ina waalimu wawili, hospitali/vituo vya afya havina vitendanishi, ATCL inaleta hasara etc etc.Juhudi ya 16% ya watanzania haiwezi uwa legacy ya JPM
Magufuli ndio kwanza anachipua na kuchanua katika mashina ya watanzania zaidi ya 84%
JPM aliishi, anaishi na ataendelea kuishi...... mnaoumia na kupambana asahaulike mtakufa kwa kihoro
Waambie, hivi wasanii wangapi walimwimbia Magufuli na niwangapi walimwimbia Mkapa!Juhudi ya 16% ya watanzania haiwezi uwa legacy ya JPM
Magufuli ndio kwanza anachipua na kuchanua katika mashina ya watanzania zaidi ya 84%
JPM aliishi, anaishi na ataendelea kuishi...... mnaoumia na kupambana asahaulike mtakufa kwa kihoro
Ni humu tu na Twitter basiSijui alikuwa kalaaniwa yule. Nchi nzima watu wanamnanga wakati kashakufa.
Acha kujitekenyaDaa mi nshasahau kama kuna binadamu alikuwa anaitwa magufuli[emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua ulichoandika?Ashukuriwe mnyaazi Mungu kwa kutuondolea lile dubwana Ikulu, maana kwa nguvu za kawaida za kibinadamu asingetoka yule; Alipanga kufia ikulu, bahati nzuri kafa mapema, miezi 5 tu ya awamu ya 2 chalii
Nakukubari Sana Mama DUnateseka sana maskini poleeeeee
Jaribu kujipanga tena maana kwetu kazi inaendelea