Mzee yuko ndichi anakula vitasa huko, aliowachukia wanakula bia tu.Nahisi huruma sana jinsi hii kitu inayolazimishwa legacy ya Magufuli kwa sababu, kwanza ni nature ya Mwanamke kuwa na Huruma, pili asili ya mtu na makuzi yake.
Ninapojaribu kuwaza jinsi ambavyo itakuwa ngumu kuenzi mambo ya Mtangulizi wa Samia! Ni kwa hulka za hawa wawili kutofautiana sana. Hivyo watanzania watakuwa ama wakumbuke kuendelea kunzi ukatili katikati ya mtu mwenye huruma, au waenzi ukatili ulio kinyume na mtawala wa sasa ambae kwa hulka ya asili yake na makuzi yake sio mtu KATILI. Ukijaribu kurejea hotuba za mwanzo kabisa za Samia unakutana na maneno 'sitaki fedha ya dhulma'.
Viongozi tuwe kitu kimoja, fungueni vyombo vya habari, na mengine mfano wa hayo utajua kwamba hii kitu inayohimizwa sana na kambi ya D7 (legacy) itakuwa ngumu kudumu kwa sababu Magu atakumbukwa sana kwa ukatili kuliko mambo mengine kwa sababu ya aina MRITHI wake.
Hivyo kambi D7 tuwe wavumilivu
Hakuna marehemu aliyesimangwa Kama huyu hapa Tanzania,hakuna.Jiwe huko aliko cha moto amekipata.
True sons of Africa who never sought cheap popularityThese are true African legends...sio hiki kituko cha sasa.... View attachment 1753677
Ukatili gani pumbafu njie jpm kawafanyia. Kuna ukatili kama kuangamiza taifa kwa kuuzia vijana dawa za kulevya. Kuna ukatili kama kula hela hela za umma kwa kufanya ukandarasi hewa wa maji. Kuna ukatili kama kula mabilioni ya iptl kama mgao wa dili huku utapeli kuhusu iptl kuendelea bila kikomo. Kuwapoka mali za dhuluma na kuwalundika lupango na kuwazuia kuendeleza uporaji ndio legacy ya jpm. Mtakoma tu mapambano yanaendelea.Nahisi huruma sana jinsi hii kitu inayolazimishwa legacy ya Magufuli kwa sababu, kwanza ni nature ya Mwanamke kuwa na Huruma, pili asili ya mtu na makuzi yake.
Ninapojaribu kuwaza jinsi ambavyo itakuwa ngumu kuenzi mambo ya Mtangulizi wa Samia! Ni kwa hulka za hawa wawili kutofautiana sana. Hivyo watanzania watakuwa ama wakumbuke kuendelea kunzi ukatili katikati ya mtu mwenye huruma, au waenzi ukatili ulio kinyume na mtawala wa sasa ambae kwa hulka ya asili yake na makuzi yake sio mtu KATILI. Ukijaribu kurejea hotuba za mwanzo kabisa za Samia unakutana na maneno 'sitaki fedha ya dhulma'.
Viongozi tuwe kitu kimoja, fungueni vyombo vya habari, na mengine mfano wa hayo utajua kwamba hii kitu inayohimizwa sana na kambi ya D7 (legacy) itakuwa ngumu kudumu kwa sababu Magu atakumbukwa sana kwa ukatili kuliko mambo mengine kwa sababu ya aina MRITHI wake.
Hivyo kambi D7 tuwe wavumilivu
Kweli tupu mkuu
Haya basi ameshakufa kwa hio hatakuja rais mwingine wakujenga.Angekuwa wa hovyo angekujengea Madaraja,sgr, Mwendokasi,Hospitali, Shule,Bwawa la umeme la Nyerere,Ununuzi wa ndege, ujenzi wa viwanja vya ndege, Ununuzi wa meli,ujenzi wa bandari,nk???.
Ukitaka kuwashuhudia wanaotumia nguvu mpaka makoo na mishipa ya shingo inawauma angalia TBC na kaanglie mijadala ya Bunge.Mbona unatumia nguvu sanaaaaa😃😃😃😃
Mv Liemba ya lake Tanganyika, ilijengwa na wakoloni(wazalendo) wa kijerumani mwanzoni mwa karne iliyopita. Mwaka 1960 hapa Dar, palikuwa mabasi ya ghorofa (Double deck bus) kama jijini London. Shule za Jangwani na Azania na vyanzo vya umeme Pangani falls na Nyumba ya Mungu vilikuwepo tangu kabla ya vita kuu ya pili
Karibu tena
Atakua wa CCM tu huyo.Kuna mshamba mmoja kwenye bunge la ndugaa aliita
LEGANSI
Hivi ni vichache Sana kulingana na umri tuliopata uhuruBila kusahau UDA na mabasi ya Icarus Kama mwendo Kasi ya Sasa.
Kiwanda Cha Magari Nyumbu,
Udom,
Mloganzila,
Moi,
JK Hospital tumeacha kupeleka wagonjwa wa moyo India,
Uwanja wa Mkapa wa Michezo,
Daraja la kigamboni JK Nyerere.
NAWE jaribu kupenda kujisomea upate orodha yote, sio mpaka ulishwe na PolepoleHivi ni vichache Sana kulingana na umri tuliopata uhuru
Haya leo Umoja wa Mataifa (UN) wamefanya Agenda rasmi ya kumkumbuka hayati JPM. Viongozi wawakilishi wa nchi mbalimbali wametoa ushuhuda wao kwa kazi za JPM....Nahisi huruma sana jinsi hii kitu inayolazimishwa legacy ya Magufuli kwa sababu, kwanza ni nature ya Mwanamke kuwa na Huruma, pili asili ya mtu na makuzi yake.
Ninapojaribu kuwaza jinsi ambavyo itakuwa ngumu kuenzi mambo ya Mtangulizi wa Samia! Ni kwa hulka za hawa wawili kutofautiana sana. Hivyo watanzania watakuwa ama wakumbuke kuendelea kunzi ukatili katikati ya mtu mwenye huruma, au waenzi ukatili ulio kinyume na mtawala wa sasa ambae kwa hulka ya asili yake na makuzi yake sio mtu KATILI. Ukijaribu kurejea hotuba za mwanzo kabisa za Samia unakutana na maneno 'sitaki fedha ya dhulma'.
Viongozi tuwe kitu kimoja, fungueni vyombo vya habari, na mengine mfano wa hayo utajua kwamba hii kitu inayohimizwa sana na kambi ya D7 (legacy) itakuwa ngumu kudumu kwa sababu Magu atakumbukwa sana kwa ukatili kuliko mambo mengine kwa sababu ya aina MRITHI wake.
Hivyo kambi D7 tuwe wavumilivu
Achana nao hao mafalaAngekuwa wa hovyo angekujengea Madaraja,sgr, Mwendokasi,Hospitali, Shule,Bwawa la umeme la Nyerere,Ununuzi wa ndege, ujenzi wa viwanja vya ndege, Ununuzi wa meli,ujenzi wa bandari,nk???.
Mnahangaika sana kumpaka misifa fake. Hana sifa yoyote ya ajabu. Kashasahaulika kabla ya 40😅😅Mkiwa 10 mnakuwa nchi nzima[emoji1787][emoji1787]
Illusive
Laana itamtafuba huko aliko, wafuasi na washiriki wa maovu yake wote na vizazi vyao.Amelaaniwa kabisa!! Umri huu nilikuwa sijawahi ona mtu akifa watu wanafanya sherehe.. nimeona kwa huyu mwendazake
Laana inamtafuna huko alijo.Achana nao hao mafala
Ungejua ambavyo simpendi huyo mjinga usingeniita hivyo.Sawa Bashite
Mzee yuko ndichi anakula vitasa huko, aliowachukia wanakula bia tu.
Ama kweli Mungu si Athumani