goukun wadey
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 241
- 286
Kuna kitu kafanya kwenye ushuru wa kuingiza magari nchini kimempa mileage kubwa sanaMagufuli is dead.
Hawezi tena kudhuru mtu au kumnufaisha...
Itatupasa watu wa kambi hii tukimbie haraka tusije jikuta tunaanzisha chama na tusipate wanachamaKuna kitu kafanya kwenye ushuru wa kuingiza magari nchini kimempa mileage kubwa sana
You Nailed it "UKATILI" visa vis "HURUMA" Mwendazake and SASHA respectively.Hivyo watanzania watakuwa ama wakumbuke kuendelea kunzi ukatili katikati ya mtu mwenye huruma, au waenzi ukatili ulio kinyume na mtawala wa sasa ambae kwa hulka ya asili yake na makuzi yake sio mtu KATILI. Ukijaribu kurejea hotuba za mwanzo kabisa za Samia unakutana na maneno 'sitaki fedha ya dhulma'.
Good point, tutaelewanaYou Have Nailed it "UKATILI katikati ya HURUMA
KabisaKwani Meko alikua ni nani hasa yeye? Mbona mnazuia watu wasiteme nyongo zao za miaka 5? Alikua ni Rais wa hovyo kuwahi kuitawala Tanzania...
Meko ashakufa hivyo tuachane na habari zake, nchi iko mikononi mwa Mama anaiendeleza na kufuta upuuzi wote ulioweka na mtangulizi wake..
Hata mimi nimeona hiyoKuna kitu kafanya kwenye ushuru wa kuingiza magari nchini kimempa mileage kubwa sana
Ubovu wa magu ndio unafanya hicho kitu kinachoitwa legacy kiwe negative. Wasione kama ni nongwa ikiwa hatuioni hiyo legasi.Nahisi huruma sana jinsi hii kitu inayolazimishwa legacy ya Magufuli kwa sababu, kwanza ni nature ya Mwanamke kuwa na Huruma, pili asili ya mtu na makuzi yake...
Sijui alikuwa kalaaniwa yule. Nchi nzima watu wanamnanga wakati kashakufa.Jiwe huko aliko cha moto amekipata.
Amina. Unaanzaje kuwa rafiki wa mchawi?Atakaye mkumbuka dikteta alaaniwe yeye na uzao wake wote
Kweli tupu mkuuAmina. Unaanzaje kuwa rafiki wa mchawi?
na bado mei mosiKuna kitu kafanya kwenye ushuru wa kuingiza magari nchini kimempa mileage kubwa sana