kwa kweli kwa Tanzania tumempoteza Mwanasiasa na chombo cha kimataifa katika siasa.
Ukianzia katika mchango wake katika Siasa ya East afrika na tanzania kwa ujumla ,pia amechangia pakubwa hata kuwapika na kuhakikisha wanasiasa wengi wa tanzania wanaiva kisiasa kwa njia ya kutoa mawazo yake katika ulimwengu wa siasa.
Pia ninachofahamu zaidi alikuwa ni mtu alisiyemuogopa mtu kama akielewa kuwa kile anachoongea ni sahii katika ulimwengu wa siasa.
Tutamkumbuka kwa mchango wake katika siasa