cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,072
- 1,697
unataka myu afanye jambo gani ili ukubali mchango wake?Ndio maana mimi nimesema MKapa simkubali kivile ila natambua Mchango wake
unajua sisi wa tz tunashindwa kuelewa kitu kimoja..!!
hakuna hata Rais mmoja hapa Bongo ambaye ni msafi kwa 100%
sasa inaskitisha sana kuona jopo la watu humu jukwaani kila siku wanamaliza bando kwa ajili ya kumponda mtu mmoja kana kwamba yeye ndio kiongozi pekee aliyeongoza nchi hii tangu tunapata uhuru
mbaya zaid kiongozi anayepondwa ndiye aliyefanya vizur kuliko viongozi wote hapa tz
serikali kuhamia Dodoma ilikuwa ni historia , tangu enzi za mwl lakini magu kaihamisha
kajenge ikulu Dodoma
Barabara zinazounganisha nchi na nchi sasa hv karibu zote zina lami
kajenga masoko na stand za kisasa karibu nchi nzima
kanunua ndege 13 tena cash money
kajenga madaraja
kanunua vivuko karibu maziwa 3 au 4
kafanya upanuzi wa bandar
uwanja wa ndege ile wa dar ile ternminal 3
kapunguza gharama za umeme
kajenga express way ile ubungo to kibaha
katoa elimu bule
kaijenga Dodoma na sasa imekuwa jiji
lakin bado kuna watu wanaona Magu hajafanya kitu hivi kweli mpo serious na mnachoongea au ndio chuki binafsi?
mnapoongelea mabaya ya mtu mkumbuke bas japo na mazuri yake sio mnapiga tu kelele kama mashabiki wa simba vile