LED TV 32 inch model 32FHM5000K

LED TV 32 inch model 32FHM5000K

KingPower

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
1,143
Reaction score
1,886
Habarini wakuu, heri ya sikukuu ya IDD natumai sikukuu ileenda poa

Turudi kweny mada katika pita pita zangu mwezi wa tatu nilikua tunduma
Nikakuta wanauza Samsung LED TV inch 32 kwa Bei cheap sna

Model yke ni Samsung LED TV 32 inch (32FHM5000K).

Nikapata mashaka kidogo maana ata package yake haina jina la Samsung

Kwa Bei ya 260,000 ata kama tunduma vitu bei ni cheap inatia walakini tena kwa brand ya Samsung, ata Star X, hupati kwa bei hii

Wataalam tushauriane juu ya hii TV je ni OG au janja janja za watu karibuni wakuu kwa ushauri wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kwa bei hiyo itakuwa ni aborder iliyowekwa Sticker ya samsung. Ila kama huhitaji mbwembwe unaweza kujilipua tu. Angalia kama ina sifa unazohitaji kama vile quality ya picha inaridhisha, USB port, Audio port, Hdmi ports n.k.

Kwa gharama hiyo kweli hata singsung wala star X hupati.

Singsung toa hapo
Hata kwa laki 4 hupati inch 32
Na kwa sasa zilivyo adimu hata uwe na jiwe 5 cash unatafuta kwa tochi
SINGSUNG mnyama mwingne kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom