Leaving You While I Still Love You...

Mi English ya class na ktk newspaper huwa sielewi... lakini hizi za romantic huwa naelewa sana..! I don't know why
lazima uelewe kwasababu umeona neno 'love'.

Hapo unajua ni mambo ya maponzi tu
 
kasie, binti wa kinyamwezi unae upelekesha moyo wangu.

Nifanye nini mie mtoto wa kuchaga karata zangu zichangike kwa huyu binti??????

Ntakufa na ukimya wangu walahi
 
Mi English ya class na ktk newspaper huwa sielewi... lakini hizi za romantic huwa naelewa sana..! I don't know why

Hahahahaaa looh, sasa ukamate financial times newspaper au the east Africa newspaper nglish yake kama hujatulia utakuwa kama unasoma Biblia. Walau the citizen nglish yao si kali sana. Daily news na guardian nao wako fair.

Ila ukijizoesha kusoma hayo magazeti kila leo unaongeza terminologies.
 
kasie, binti wa kinyamwezi unae upelekesha moyo wangu.

Nifanye nini mie mtoto wa kuchaga karata zangu zichangike kwa huyu binti??????

Ntakufa na ukimya wangu walahi

Hahahahaaa usife na ukimya bana, halafu mahaba unamuacha nani?

Sio kwa ubaguzi, ila wewe ni mchaga wa wapi? Halafu ntakwambia kitu.
 
Mimi mkibosho mama, sina makuu wala mawaa!!
Napita tu nikisom nyuzi zako huku moyo ukienda mbiyo.

Nikija PM naandika na kufuta nikihairisha siku nyingine nitasema jambo.

Leo nasema huku hofu imenijaa ya kukataliwa.
Hakika sistahili kupenda ten
 
Hahahahhaa acha fujo bana....
Hebu njoo PM bila uoga uone Kasie wa chumbani yukoje. ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…