Auaye kwa upanga, atakufa kwa upanga!
Brainwashing western propaganda zinatia upofu, uziwi na hudumaza akili. Kamuua nani kwa upanga??? Nani kakwambia kwamba ana makosa ya kuua??? Kamuua nani.
Kosa sio kuua PakaJimmy,
1. Ni just kuwa Taaliban. Je Taaliban ni WaMexico wale au waAfghanistan wenyewe?? Kati ya Taaliban na waMarekani na mahabithi wenzake ni nani wenye haki na nchi ya Afghanistan???
2. Kujitahidi japo kwa means dhaifu kusimamisha taifa la kiislam dhidi ya propaganda za kishenzi za Magharibi zinazokuzingueni kina PakaJimmy.
3. Kukataa kuwa puppets kama Karzai.
4. Kukataa kusalimu amri na kutaraji ushahidi wanapolazimishwa kwa ubabe wa kivita na wavamizi washenzi.
5. Na kwa mujibu wa Shariah, ni haramu kumsalimisha muislamu kwenye sheria isiyo ya kiislamu, kama kuna accusations na zifikishwe katika mahakama za kiislamu na zitahukumiwa kimkondo wa Sharia za kiislamu. Hata katika mikataba ya kawaida ya kisheria za kidunia, kuna taratibu za kimataifa kukamata watuhumiwa pale nchi husika zisipokuwa na mikataba ya kubadilishana wafunwgwa, sembuse pale mtuhumiwa hata hajafikia kiwango cha kuwa mfungwa katika nchi pinzani.
6. Bahati mbaya ulimwengu unaendeshwa ki-freemasonic na haki ni za Wazayuni na christian-judeo freemasonic states za kimagharibi. Kama kungekuwa na haki basi macho na akili zenu zingefunguka. Mmebambikwa chuki mpaka mnakosa free thinking minds. Mnachukulia uhabithi wanaoufanya wamagharibi kama ni mali yenu.
Lini Wamagharibi wamekuwa na haki Afghanistan kuliko Taaliban ambao ni waAfghanistan???
PakaJimmy na wenzako fungueni akili zenu.