Le Pofeseri

Sasa hv ana bonge la Toyota Land Cruiser V8 , Ubunge raha sana............kashasahau shida kipindi kile alikuwa anagangaaa njaaa ya Uganga
 
maisha ni mechi isiyo na sare, ni lazima uyashinde au yakushinde. najisikia vibaya kukaa kijiweni maana hata wazo la nianzie wapi nimalizie wapi silipati

hongera profeseri kuhangaika kunalipa, Mungu hamtupi mja wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…