William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Mtu kusoma degree 3 alafu zote tofauti ni ishara ya kukosa muelekeo wa kimaisha!
Kubwa jinga huyo jamaa.....umri wote kula kulala kwa mama wa kambo
Nakuona mzee upo na wajukuu zako
Huyu ni km mwanaume lakini kwa mbaali naona kitu kama shanga hivi, hahahahaa.
unajua watoto wa le mutuz siku moja wataimba hivi kama tupac"no love from my daddy cuz the coward wasn't there"
le mutuz start acting your age,you can still get punanis even if you keep a low profile because you somehow have your daddy's cash!last thing,you need to lose atleast 50 kilos to hit cute skins without paying for them..you are too fat dude.
le mutuz ni jembe..namkubali sana huyu jamaa anaishi maisha yanayomfaa yeye sasa ninyi mnaohoji ni akina nani?
Hili pumbavuu ni lakulidharau tu kubwa zima akili kizidiwa hata na dongo janja
- hahahahaha sema unajidharau wewe kwa sababu Mwanaume wa kuingia na majina ya bandia kutukana wanaume asiowajua lazima udharauliwe au ninakosea? hahahahah
Le Mutuz
Nyinyi ndio mnampotosha huyu babu kiumri Le Mutuuuuuuuz ni sawa na baba yangu.huyu hovyo kabisa anazidiwa akiri na mdogo wake yule doctor katulia kabisa.nimemzalau anasema ametoka kwa mama Kilango amepata nyumba yake ya vyumba 3 mimi nilijua kanunua kumbe kapanga ushahidi ninao ukibisha nauleta.Le Mbululazzzzz eti anasema tunaokaa mbezi na segelea ni polini.Mimi nakaa Kinyerezi kwangu na najivunia kwangu wewe kutwa kuhangaika na wanawake kwenye Ma instagram sijui ni kuwadi wewe hata sikuelewi unawazalilisha ndg zako na wagogo wenzio badilika wewe babu
Wewe ni MKASI sijui unajua maana yake
- hahahahaha Kinyerezi nina shamba la eka tano na nyumba ni yangu, hapa mjini wote tunaishi nyumba za kupanga kama ningekwua na akili ndogo kama yako ningekuja kuishi huko ila kwavile biahara zangu zipo hapa town ndio maana sina mpango wakuja huko mashambani kwa sababu Meli ikija bandarini ninaamka mara moja ninaenda kazini imagine ningekuwa naishi Kinyerezi na mvua za juzi na Meli imeshafika, pole sana ila nina akili nyingi sana kukuzidi na ninaheshimika sana ndio maana CCM Taifa walinipa heshima kubwa sana kwenye Ripoti ya Rais ya kushukuru waliosaidia kupitishwa kwa Rasimu bungeni hivi karibu tafuta ile ripoti ya CCM utakuta jina langu lipo, ndugu zangu hawahusu kama una hoja deal na mimi le mburu;lazzzzzzz ok!!
Le Big Show
Yani leo ndio nimeamini wewe babu ni mjinga hiyo rasimu ya kifisadi ndio unajivunia.jitathimini vizuri kama akiri zako zipo sawa hao ccm Mafisadi wenzio ndio unakuja kujivunia hapa vyeo mnalisishana na kwa kuwa wamekuona hujielewi ndio mana hawajakupa hata ukuu wa kijiji.mtu una miaka 60 bado una hangaika na vitoto na mapicha picha jitambue we mzee
Hongera sana le mituz najifunza mengi kutoka kwako..unajua kujjibu hoja hatakama zA maudhi bila ku panic ila zaidi ni hustler lzako za kutafuta pesa ...your my role model
Sent from my Nokia_XL using JamiiForums mobile app
#Wamajanga hapa ulisahau kurudi kwenye ID yako uliyoanzishia thread.
- Hahahaha Miaka 60 sijafikia na wala waliofikia sio kwamba sio watu huo wako ni ubaguzi kwa hiyo una maana baba yako kwa vile ana miaka 60 sio binadam? hahahahah sijamuomba mtu ukuu wa anything ninafanya my business na I am happy with my life na you know that, ndio maana unalia lia unalia nini kwa sababu yako hana elimu na hana cheo Serikalini unasema ni kosa langu? hahahahahaha
Le Mutuz