We done Malecela Jr aka le mutuz
Aka mutu ya watu aka mutu ya juu kabisa..
Haya jamaa anajua kucheza na akili za ya biashara ...How? ?jamaa nyie mnavyozidi
kulopoka mitandaoni basi yeye he is laughing straight to the bank...na Kwa tarifa yenu ile nyumba sio ya mama ake
le mutuz ...ebu jiangalieni. ..shame on you for buying such a silly joke..anayetaka nimpeleke Kwa mama ake le mutuz aniambie hapa...jamaa anajua jinsi ya kukaa relevant or juu ni nyie kumkaa midomoni mwenu. .
haya si mnaona ma queen wa media kina kim kardashian or Kwa hapa le domoz aka
le Tandalez aka le king of mabebez wote
anavyowakaa midomoni Kwa story fake kukicha
sasa hivi mnaangaika na shemeji wenu wa
Uganda. ..mazafantaaaa
- Hahahahahaahahhaa this is wasap U know hahahaha duh I am humbled na another thread kila siku average two threads Le Mutuz Nation thank you mamen umetisha U know!!
Le Mutuz
Hivi babake anajisifu kweli kama ana mtoto wa kiume....???
Babu una stress, asubuhi asubuhi yote unajianzishia Uzi...ndo tabu ya kutokuwa na mke umri huo, bibi angekuwepo angekuwa anakukanda huo mtumbo Saa hizi......wala usingewaza kudamkia Jf....
Ila babu shikamoo, naomba mia basiii....
Ye ndio anazisha uzi na ID fakeMpumzisheni huyu le mutu
- No nipo busy natengeneza ofisi yangu mpya hapa Tancot House, next week nahamishia hapa kampuni yangu ndio maana nipo busy sana
Le Mutuz
Ha ha u know subiri ifike page ya 10 ndio uje.
Ye ndio anazisha uzi na ID fake
Hahahaaa sasa hivi umepanga au ndo kama kawa unavamia ofisi za watuuu? manake nasikia unavamia ofisi za watu unatafuta kona unaweka meza na desktop yako unaanza kujiphotoa uko ofisini....
Halafu wewe babu yangu utakuwa hufadhiliki, Kwa Juma pinto umehama, kwa Chicago umehama, sasa hivi unavamia ofisi ya nani?
Babu una stress, asubuhi asubuhi yote unajianzishia Uzi...ndo tabu ya kutokuwa na mke umri huo, bibi angekuwepo angekuwa anakukanda huo mtumbo Saa hizi......wala usingewaza kudamkia Jf....
Ila babu shikamoo, naomba mia basiii....