William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Nyumba uzitoe wapi we kapuku? Umezoea kuishi kwa babako na kutwa kutembeza mtumbo wako kwa akina mosha na wengine kwenye ccm...
Wenzio ukigeuza kisogo wanakunanga Sana kwa mambo yako ya kike na ya kitoto..
Msura wako tu unaonesha Una akili za kitaahira ungekua USA ungeshatupwa kwenye rehab centers...
We kima huna lolote wala chochote zaidi ya huo mtumbo wako....
- Kumbe ujumbe wangu umekupata saaafi sana kaka wacha chezeya wajinga wenzako hapa moto huwezi huna hiyo akili ya kushindana na mimi utaendelea kulia lia humu wenzako tunavuta pesa humu humu!1 ha! ha! ha! ha!
Le Mutuz
Akili uipate wapi punguani Kama wewe? Siwezi shindana na mjinga mjinga Kama wewe...
Umri wangu na wako tofauti tena unanizidi Sana but naishi maisha standard kuliko wewe kizee unaehangaika mjini wakati wenzio Wa rika lako washaandaa maisha wanasubiri kustaafu tu...
Maisha yamekuchapa Sana we kunguru usofugika na mbichwa wako ulojaa kamasi badala ya akili
- ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! kumbe kunguru na kima ni wewe mwenyewe ha! h! eti umesema Davis Mosha ni rafiki yako sana? anakuona una akili sana mbona hajakupa business patner kaka? ha! ha! kima bwana!!
Le big show
- Wewe utaendelea kulia lia kumbe wewe ni kima maana unapenda sana kuamini wengine wote ni kima kama wewe, ha1 ha! ha! ha! kimaaaaaaaa utaisoma tu haya yako ndio maneno ya walioshindwa maisha, matajiri mjini wananipa deals za pesa kila siku wewe unakalia ujinga ujinga
- ok niambie wewe ulikaa Davis Mosha akakwambia ananiona mjinga na huku tunafanya business pamoja kama sio kima mwanaume wewe mbona hajakuchukua wewe kuwa business patner wake ha! ha! ha1 mburulazzz
Le Mutuz
Bora Unisaidie Mkuu.
Hilo Jamaa la Le mutuz mabwege kweli mkuu acha kupoteza muda na wazuzu wanaotumia umaarufu wa baba zao mambwiga awa aiseeeeses
Wewe business partner au mtumwa wake?
Wadada unaocheza nao mdako ndo anakutuma wewe umpelekee awale then unapewa vocha...
Ha ha ha tunakujua Sana mjini hapa unahangaika Kama kisuli suli
MTU mzima kucheza cheza na wadada unaoweza kuwazaa
Mitoto ya michepuko ndo mlivyo
Eti anaandikwa kwa sababu baba yake ni waziri mkuu mstaafu kwa nini nyie baba zenu hawakua mawaziri wakuu wastaafu
Akili uipate wapi punguani Kama wewe? Siwezi shindana na mjinga mjinga Kama wewe...
Umri wangu na wako tofauti tena unanizidi Sana but naishi maisha standard kuliko wewe kizee unaehangaika mjini wakati wenzio Wa rika lako washaandaa maisha wanasubiri kustaafu tu...
Maisha yamekuchapa Sana we kunguru usofugika na mbichwa wako ulojaa kamasi badala ya akili
kumbe alianza kujipigia kabla ya mond
Le kibamiaz jana kwenye msiba wa mke wa Kingunge kila ulipokua unapita watu walikua wanafinyana kimya-kimya wanakumbushana video yako ya super kimbilimbiz.- Davis Mosha ni business patner kama kuna anaoeletewa kuliwa utakuwa ulikuwa mmojawapo ndio maana unayajua sana, mimi na hangout na mabebz wa ukweli wewe huwezi kunizuia na wala sivunji sheria na wewe kwa vile ni bebez wa ukweli unakaribishwa usilie wivu le mburulazzzz!!
Le Mutuz
Waache hao wambea na wenye majungu waishi maisha yao ndiyo wameyachagua.Lugha unaonekana kama una maisha hayo unayosema basi either umeiba au umeuza unga. Mwanamume aliyekwenda shule bila kuigizia Darasani hawezi kuzungumzia Lugha. Maisha ya mtu. Sijui umri. Huku ulaya 95 years anaitwa Andreas. Nk. Nyie mlio na haraka ya kufa ndo mnazungumzia umri. Maisha ni vile unavyoamua kuyaishi. Heshima ya Wtz ipo kwa vyama .acheni kila mtu Aishi maisha yake. Umbeya Majungu hata wanyama hawafanyi